Kwa Matokeo haya ya Club Bingwa Ulaya Ndo Kipimo tosha cha Kujua Ligi Bora Ulaya?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Juventus 2 Dinamo Zagreb 0
Barcelona 4 Monglebach 0
PSG 2 Ludogolets 2
Bayern Munchen 1 Atletico madrid 0
Fc Porto 5 Leicester city 0

Je Matokeo Haya ni Kielelezo tosha cha kujua ligi gani bora kwa sasa Ulaya
 
hakuna ligi kama epl,we umeona pogba analeta ujuzi wake wa serie A au ibrahimovic na mbwembwe zake za ligue 1
 
Kwani pogba alivyokuwa juve alikuwa anawika serie A pekee? Wakati hadi kwenye champions league aling'ara sana na juventus.
 
Mfumo wa soka la kiingereza ni tofauti na Mifumo mingine kabisa pale ni nguvu kwanza halafu ufundi ndo unafuata na pia zama hizi ukiangalia ligi ya italy ni timu moja tu(Juventus) ligi imekosa msisimko sana zama hizi tofauti na kipind cha nyuma.
Pia pale juve hakua na kazi kubwa sana ya kukaba alikua na watu kama Pirlo,Marchisio,Vidal alikua huru kuchezea mpira tofauti na England lazima kila mchezaji ukimbie
Ila atarud kwenye fomu tu.
 
kuweka ufundi nyuma ni jambo ambalo linaicost epl
 
hakuna ligi kama epl,we umeona pogba analeta ujuzi wake wa serie A au ibrahimovic na mbwembwe zake za ligue 1
kutokung'ara kwa Pogba & Ibrahmovich si kipimo tosha cha kusema EPL ni ligi bora ..
 
Epl timu zinatafuta Ushindi na sio ball possesion
Ref Leicester city walivyobeba kombe Pasi tatu tu goli,ndo maana wakikutana na timu za Spain hasa Barcelona,Atl Bilbao wanateseka sana.
Kidogo Arsenal coz wao wanaposses mpira
 
kutokung'ara kwa Pogba & Ibrahmovich si kipimo tosha cha kusema EPL ni ligi bora ..
Ni ligi yenye Wapenzi wengi ila kwa ubora kwa kusakata kabumbu sio kivile kutokana na Mfumo wa soka lao.
 
sababu za kibiashara ikiwemo gharama sio?
Kweli mkuu Epl ina gharama sana na hii inatokana na Demand yake kuwa kubwa sana.
Mfano kama Dstv angekua anaonyesha ligi nyingine bila kuwa na Epl gharama zake zisingekua juu gharama zinatoka na Epl kuwa na demand kubwa kwa watu
 
sasa je kuna weza kukawa na high demand ya mchanga zaidi ya dhahabu?

hapo nazungumzia thamani na ubora wa ligi
MANDELAA KIWELU
 
hakuna ligi kama epl,we umeona pogba analeta ujuzi wake wa serie A au ibrahimovic na mbwembwe zake za ligue 1
nImekusoma kaka. upo vizuri. na ndomanake Messi hasubuthu kuja EPL kwa kipindi hiki.
 
Ukicheza Epl ukienda ligi yoyote ile uteperform vizuri tu ila ukicheza Ligi nyingine halafu uje Epl kuna mawili uperform vizuri au ushindwe na matokeo yake utolewe kwa Mkopo.ref Mateja Kezman,Shevchenko,Robihno,Jo,Veron,yule mpiga faulo wa Argentina alipita Man utd pale akaenda Alt madrid
 
hakuna ligi kama epl,we umeona pogba analeta ujuzi wake wa serie A au ibrahimovic na mbwembwe zake za ligue 1
Ingia kwenye mitandao huko na tafuta timu bora zinapatikana wapi, unaweza ukajiongeza kutafuta wachezaji bora pia na jaribu kuangalia mara ya mwisho kwa EPL kutoa mchezaji bora ulaya na duniani.
 
nimesema ligi bora,sijasema timu bora wala mchezaji bora
 
Back
Top Bottom