Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"A"moja na "E" anapata chuo kikuu mkuu. Kwani E sio principal.HAWEZI KUPATA. DEGREE lazima uwe na principal passes 2 yaani D mbili. Hata angekua na A moja na zingine E hawezi pata.
Usituchoshe bwana, ukweli mwenyewe unaujua ila umeamua kujitoa ufahamu.Niko serious kuliko unavyo waza, kama chuo ni majengo tu hapo sina neno ila nimekwambia TEKU imekuwa ikizalisha walimu wazuri sana kuliko UDSM haswa kwa miaka ya nyuma labda nisijue leo na hili jambo siliongei kwa mihemko bali kwa kufuatilia nikiwa na sababu maalumu zilizo nisukuma kufuatilia jambo hili.
Sasa huoni hapo tayari princples unazo C na B hata kama kwenye somo husika una Enipo Coict.nilipata BCE.phy C chem B adv Math E.ningelikuwa na D Ya physics nisingelipata nafasi hapa chuoni kwa hii kozi.kuna vijihesabu unatakiwe uvipige iliuweze kuendana na taratibu zao za cut off ya 4 kwa 2core subjects.hoja yako hapo juu kidogo haikuwa sawa huyo mwenye cee nafasi chuo anayo ila changamoto itakuja kwenye kozi gani anataka kusoma(4pts frm 2core subjs) chuo gani na ushindani upoje.pamoja bro
nitakufahamisha ili uwe msaada kwa wengine bro.mfano bsc in telecom eng cut off point ni 4 kwa masomo mawili ambayo wanaita core subjects ambayo ni hesabu na physics basi.chemistry weka pembeni angalia taratibu zilizowekwa kwenye creteria utaona maajabu.mtu amepata phy E chemistry A adv math D hapo ndio utafahamu ninacho sema hana sifa huyu mtu kwa kozi hii.Hivyo basi kwa utaratibu uliopo hakikisha kozi unayoomba only 2core subjects upate jumla ya point4 na si vinginevyo.hii mifumo ya udahili inareject your application process kama sifa tajwa huna utapoteza fedha bure mwamba.Sasa huoni hapo tayari princples unazo C na B hata kama kwenye somo husika una E
Unamsingizia ndugu yako kwann?Habari!
Poleni na majukumu ya kila siku. Nina ndugu yangu amemaliza form 6 mwaka huu kama private candidate na amepata C ya historia, E ya kiswahili na E ya kiingereza.
Je, kwa matokeo haya anaweza pata university admission?
Maoni yenu tafadhali.
Kwanini watu ambao Hatujasoma UDSM tunaipachukia sanaTEKU watu wanaichukulia simple lakini inatoa products nzuri zaidi hata ya UDSM na vyuo vingine haswa kwenye kada ya Ualimu
Una uhakika mkuu??C na E zote ni principle pass zenye 4 points, so anaweza kupata chuo kama hakuna ushindani mkubwa kwenye chuo alichoomba.
Ni kweli CE ni points 4 tayari una dahiliwa Bachelor degree katika chuo chochoteUna uhakika mkuu??
100%Una uhakika mkuu??
E ni pass na siyo principle pass, kwa mujibu wa Tcu principle pass ni D ambayo inakupa point 2100%
C ni principal pass
na
E ni principal pass.
Jumla 4 points.
Elimika kidogo ndugu.E ni pass na siyo principle pass, kwa mujibu wa Tcu principle pass ni D ambayo inakupa point 2
Hiko ni cheti cha F6 mwaka 2020E ni pass na siyo principle pass, kwa mujibu wa Tcu principle pass ni D ambayo inakupa point 2
Mkuu najua umeandika kwa mujibu wa ufahamu wako wa sasa. Lakini ulichokiandika hakina ukweli, amini nakuambia.E ni pass na siyo principle pass, kwa mujibu wa Tcu principle pass ni D ambayo inakupa point 2