KAYAFA alikua sawa na Shetani wa kwenye simuliziPenye ukweli, uongo hujitenga.
You can fool some people for some time, you can even fool some people all the time.
But you can't fool all the people all the time.
Uliona wapi mwizi amnyooshee kidole mwizi mwenzake!?Mwendazake HASAFISHIKI hata KICHAA hawezi KUMTETEA ni Mwizi
Kama mwizi lazima anyooshewe VIDOLE na Hagaya atanyooshewa baadae ila kwa sasa MWENDAZAKE ndio MHUSIKA mbona na yeye alidai NCHI hii Tumeibiwa sana?Uliona wapi mwizi amnyooshee kidole mwizi mwenzake!?
Yan kweli Hangaya aliyezungukwa na kina marope na madelu anaweza
kuwa msafi kiasi cha kumnyooshea kidole Magufuli!?
Mwizi wa kweli watanzania wanamjua na hata wezi wenzake wanashukuru sasa
wanalamba asali
Yule mtu hatochafuka kwa kumzulia uongo wa maneno matupu...Mwendazake HASAFISHIKI hata KICHAA hawezi KUMTETEA ni Mwizi
Mkuu kuna kitu kinaitwa thinking, halafu thinking clearly.Kama mwizi lazima anyooshewe VIDOLE na Hagaya atanyooshewa baadae ila kwa sasa MWENDAZAKE ndio MHUSIKA mbona na yeye alidai NCHI hii Tumeibiwa sana?
Yule dingi alikuwa mpigaji sanaNajua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe
Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge?
1. Kuwadanganya kuwa tutalipwa kodi ya tril. 360 za Barrick kumbe ni kanyaboya?
2. Fedha za plea bargain kutoonekana na kufunguliwa acc wakati hizo fedha zingetumika kuwahudumia wananchi wanyonge aliodai anawapigania.
Je, uzalendo wake ni upi?
View attachment 2502122View attachment 2502129View attachment 2502131