CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Subiri matusi toka kwa vimada wa marehemu dhalimNajua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe
Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge?
1. Kuwadanganya kuwa tutalipwa kodi ya tril. 360 za Barrick kumbe ni kanyaboya?
2. Fedha za plea bargain kutoonekana na kufunguliwa acc wakati hizo fedha zingetumika kuwahudumia wananchi wanyonge aliodai anawapigania.
Je, uzalendo wake ni upi?
View attachment 2502122View attachment 2502129View attachment 2502131