Kwa matukio haya sioni uzalendo na utetezi wa wanyonge wa hayati. Dkt. Magufuli

Subiri matusi toka kwa vimada wa marehemu dhalim
 
Mwenyewe umeshajitilia shaka. Yaani kwa hayo mawili hata mwenyewe hujayaeleza sawa ndio uzalendo wa magufuli uwe hakuna? Kwani mwenyewe hujui orodha ndefu kupindukia ya mambo aliyofanya Magufuli? Mwenyewe mama anafeli kwenye jaribio lake kumsaliti.
Wewe bila shaka utakua wale fisadi wahuni magufuli aligeuza maisha yenu jehanamu.
 
2. Fedha za plea bargain kutoonekana na kufunguliwa acc wakati hizo fedha zingetumika kuwahudumia wananchi wanyonge aliodai anawapigania.
Mzigo upo China Chief - ni sisi kuamua kuufuata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…