Kwa matukio haya ya marefa je TFF wanawalipa mda muafaka? Je wanacholipwa kinastahili sawa na kazi zao..Napita tu

Kwa matukio haya ya marefa je TFF wanawalipa mda muafaka? Je wanacholipwa kinastahili sawa na kazi zao..Napita tu

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Ukiwa nje aikuumi

Ila ukiwa ndan ya uwanja utaelewa upuuzi na ujinga uuvumilie ama umalizane na refa

Hapo nyuma wachezaji wa yanga kadhaa walipiga mwamuzi pamoja na kukimbia bado aliyapata aliyoyataka

Kwamatukiio ya refa wa mechi mbili za simba hapo nyuma na huyu ea yanga jana sina budi kusema tff iruh refa kupigwa pale anapofanya ujinga uwanjan

Hili la jana nimebaki mdomo wazi kabisa mpita unachukuliwa kichwan kwa mtu mwamuzi msaidizi anaita kona na inapigwa kona

Nilitarajia ama aseme goli ama goalkick kwa style hii tuna kazi kubwa mbele na marefa wetu

Swali moja najiuliza

Je wanalipwa pesa zao mda muafaka

Je wanalipwa pesa stahiki sawa na kazi zaoo

La tatu kesho ntakwambia
 
Labda wameona bora wafungiwe tu ili waendelee na majukumu mengine yenye faida zaidi kwao
 
Back
Top Bottom