Kwa matumizi Haya ya perfume huyu jamaa tumuite mjanja au mshamba?

Fanya kwanza alivyofanya, miliki anachomiliki, toa mchango kwa jamii yake iliyomzunguzka kama anavyotoa kabla ya kuanza kumuhukumu. Bomboclat!
Kwahiyo raisi asikosolewe na mtu ambaye hajawahi kuwa rais

Umemanisha nin kwa andishi lako
 
Unakomaa sana ku-create ID hapa JF kwa thread uchwara kila dakika,tatizo la members wa JF wakikushtukia watakudharau mazima hata siku ukiwa na hoja ya msingi.
Hujqjibu swali mkuu
 
Akitaka kumake hela aifanye hiyo ndo label kake kwa kila bidhaa inahusiana na bodycare.
- Chibu shaving cream
-Chibu baby diapers
-Chibu detergent
-feminine hygiene products
etc
atapiga hela hadi ataweka pembeni muzic
Mkuu elimu hiyo hana.......Ajui kuwa pyfyume mikoa mingine siyo kipao mbele......
 
We umeandika makalio jibu hoja sio unaongea kama bashite

Kwasabanu ndivyo ulivyo, so unafikiri nami kama wewe. Unaumia nini na yangu, ungepita kimya, usinipangie cha kuandika.
 
Anaweka picha ya kuvuta attention na kwa uzi huu amefanikiwa kupitia wewe mleta mada
 
Du kweli watu na vichwa. Sasa hapo ni madhara gani yanawezwa kuletwa. Pigana wivu wa kurudishana nyuma sio nzuri. Ni aibu
 
Hivi hapo ameiweka mdomoni au anaibusu?! Wewe unapombusu mtu na shavu/lips/paji la uso wako kuwa sambamba na mdomo wako kwani huyo mtu/shavu ni chakula?! Na hayo madhara ya kuibusu chupa ni yapi?!
 
kuna mzazi anasema ana kijana wake ana akili kweli. Eti ndo wewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nipo na Salam hapa tushachukua wazo lako,asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…