Kwa matumizi Haya ya perfume huyu jamaa tumuite mjanja au mshamba?

Kwa matumizi Haya ya perfume huyu jamaa tumuite mjanja au mshamba?

Najuwa wapo watu watakuja kunishambulia lakini Mimi kama nasimama kwenye ukweli huwa siogopi kushambuliwa hata kwa risasi.
Wote tunajuwa matumizi ya perfyumu na sidhani kama huwa kuna perfume inayotumiwa kama chakula. Sasa namshangaa kijana mwenzetu ambaye baada ya kuja na product inayokwenda kwa jina LA CHIBU nimekuwa nikishuhudia kwenye baadhi ya picha zake akiwa ameiweka mdomoni sasa nashindwa kuelewa kwamba hiyo perfume nayo inaweza kuliwa kama chakula pia?

Kwa wataalam Wa afya wanajua madhara yake hivyo wanaweza wakatoa msaada hapa kwa faida ya wengi.

Karibuni
View attachment 505746 View attachment 505747
mbona unahangaika uko period??
 
Huu mchezo wa kujifanya mnajua sana kizungu mtakuja kuandika matusi hivi hivi bila kujifahamu.
kumbe na wewe umeona, nimesoma mara nyingi bila kuelewa, ndio nikaja kugundua kuwa kachanganya lugha
 
Back
Top Bottom