Kwa matumizi haya ya smart phone elimu haijatukomboa....

Kwa matumizi haya ya smart phone elimu haijatukomboa....

son of king john2

Senior Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
131
Reaction score
33
SMART PHONE.....Ni kitu kiziru.......tena cha mhm unaweza tumia kusoma, unaweza fanya socialization ...kukamilisha mawasiliano na ndugu jamaa na marafiki;;;;pia kuna kurekod matukio muhimu katika maisha kwa kupiga picha au kunasa sauti lakini pia unaweza chukua video......ni matumizi mazuri ya SMART PHONE na hata smu ya kawaida kama ina uwe kufanya hivo ni matumizi mazuri ....Ila sasa kuna matumizzi ambayo kwa kweli ni ujinga kama si ulimbukeni wa smart.........phone'''' YANI MTU UNA AKILI TIMAMU UNAPIGA PICHA MAITI NA KUANZA KUTUMA KWENYE MITANDAO YA KIJAMIII ETI FULANI AMEKUFA NA PICHA YAKE AKIWA AMEKUFA HII HAPA .....TENA BAHATI MBAYA unakuta huo mwili hata haujafunikwa .Huko ni kujidharirisha na kuonyesha uwezo wako mfupi katika kufikiri.......cha ajabu mwingine anakutana na picha kama hiyo instagram au FACEBOOK ana LIKE''''jamani huko ni kujitia AIBU....ulimbukeni mwingine ni kutumia SMART kurekod matukio yako ya kimapenzi na mpenzi wako ikiwemo picha za uchi na kuamua kuzituma katika SOCIAL NETWORKS.......YANI UNAONA NI SAHIHI KABISA KUMPIGA MPENZI WAKO PICHA MKIWA KATIKA KUFANYA STAREHE HIYO YENYE KUHITAJI HESHIMA nakuamua kutuma kwenye mitandao....ili upewe nini?maana wenzako wanaocheza picha za ngono ni ajira yao!!! Au na wewe umeajiliwa na whwtsapp na instagram kuwatengenezea picha za uchi????????????jaman tujiheshimuni ni UJINGA na ULIMBUKENI HUO.....Tena ikibidi tabia hii tuiche jamani ....au ndugu zangu wana jf HII TABIA YA MATUMIZI MABAYA YA HIZI SIMU ZETU NA MITANDAO YA KIJAMII MNAZICHUKULIAJE mnisidie mawazo tafadhali
 
Aisee na ukubwa wangu sijui maana kamili ya neno Smart Phone,hebu anaejua anijulishe mana nilizani ni simu ambayo haitumii batani yaani ni touch ila je ni touch zote ni smartpone?
 
nijuavyo mimi siyo sinmu zote ambazo hazina botton ni smart .....but kwa uelewa wangu mdogo najuan kuwa smart ni simu ambayo inatumia android system,windows au syimbion kama ilivo kwa baadhi ya nokia asha.....
 
Uko sahihi mkuu,ila unapaswa kutambua tuko tofauti! utaambiwa wamenunua kwa pesa zao kwahiyo hupaswi kuwapangia matumizi! mwisho wa siku ujumbe umefika!
 
Hauwezi ukampiga picha mpenzi wako ukaioa kwa watu,ili iweje ama unataka ashughurikiwe na wengine alafu mbona heshima ni kwa wote na ikishuka ni kwenu nyote pia?

Waacheni make ni njia nzuri ya kukufahamisha kuwa na yeye kapata na sasa ------ acha yalie mbwata... tumebaki na IQ yetu ya robo kijiko kama kuku wa kizungu
 
Mkuu mambo mengine tuyaache kmyalivyo kila mtu ana uhuru wa kufanya apendavyo maadam tumewekewa mipaka na mungu na hatutaki bac tuwaacheni tu coz ndio dunia yetu hiyo ya sasa u can't change it..!!
 
Mkuu mambo mengine tuyaache kmyalivyo kila mtu ana uhuru wa kufanya apendavyo maadam tumewekewa mipaka na mungu na hatutaki bac tuwaacheni tu coz ndio dunia yetu hiyo ya sasa u can't change it..!!
mi naona kwa wapenzi hata wakifanya ni ujinga wao ila wanaopiga maiti na watu waliopata ajali ....mhuuuu
 
Hauwezi ukampiga picha mpenzi wako ukaioa kwa watu,ili iweje ama unataka ashughurikiwe na wengine alafu mbona heshima ni kwa wote na ikishuka ni kwenu nyote pia?

Waacheni make ni njia nzuri ya kukufahamisha kuwa na yeye kapata na sasa ------ acha yalie mbwata... tumebaki na IQ yetu ya robo kijiko kama kuku wa kizungu
mi naona kama ni ulimbukeni na kutokujitambua
 
Uko sahihi mkuu,ila unapaswa kutambua tuko tofauti! utaambiwa wamenunua kwa pesa zao kwahiyo hupaswi kuwapangia matumizi! mwisho wa siku ujumbe umefika!
hatuwakatazi lakin basi wawe wanafanya wao klwa wao sio hadi kuipiga maiti dah
 
Back
Top Bottom