Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera zake hilo jengo ni zaidi ya mlimani city..
Mwalimu aliwajengea RTC kila mkoa lakini kwa ukichwa maji mkaua....wenzenu wameendelea kuviboresha leo mwavitamani...:A S-coffee:anayejua atupe umiliki wa uchumi supermaket -- nachojua mimi inamilikiwa na wakenya na some shares ni serikali. hivi tuna kitu kama hiki sisi wabongo?