F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 10, 2012 #21 anayejua atupe umiliki wa uchumi supermaket -- nachojua mimi inamilikiwa na wakenya na some shares ni serikali. hivi tuna kitu kama hiki sisi wabongo?
anayejua atupe umiliki wa uchumi supermaket -- nachojua mimi inamilikiwa na wakenya na some shares ni serikali. hivi tuna kitu kama hiki sisi wabongo?
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jan 10, 2012 #22 ndetichia said: hongera zake hilo jengo ni zaidi ya mlimani city.. Click to expand... haiwezekani
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Jan 11, 2012 #23 FUSO said: anayejua atupe umiliki wa uchumi supermaket -- nachojua mimi inamilikiwa na wakenya na some shares ni serikali. hivi tuna kitu kama hiki sisi wabongo? Click to expand... Mwalimu aliwajengea RTC kila mkoa lakini kwa ukichwa maji mkaua....wenzenu wameendelea kuviboresha leo mwavitamani...:A S-coffee:
FUSO said: anayejua atupe umiliki wa uchumi supermaket -- nachojua mimi inamilikiwa na wakenya na some shares ni serikali. hivi tuna kitu kama hiki sisi wabongo? Click to expand... Mwalimu aliwajengea RTC kila mkoa lakini kwa ukichwa maji mkaua....wenzenu wameendelea kuviboresha leo mwavitamani...:A S-coffee:
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,342 Jan 11, 2012 #24 bora hata kaama wameiba wziwekeze nchini na si o kuzipeleka kwenye mabenki huko SA