Kwa maumivu ya kila aina tumieni vyakula hivi sio madawa ya kizungu ni vyakula tu

Kwa maumivu ya kila aina tumieni vyakula hivi sio madawa ya kizungu ni vyakula tu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
1 – GINGER! (MUSCLE PAIN)
2 – APPLE CIDER VINEGAR! (HEARTBURN)

3– CLOVE! (TOOTHACHE)
4
4
– GARLIC! (EARACHE)

5 – CHERRIES! (HEADACHE / JOINT PAIN)

6 – FISH! (STOMACH PAIN)


6 More Natural Pain Killers








    • Grapes (back pain)
    • Yogurt (prevents PMS)
    • Oats (Endrometrial)
    • Salt (foot pain)
    • Pineapple (digestive upsets)
    • Peppermint (muscle pain)


    Killing Pain Naturally







    The last of the 20 foods that kill pain naturally.

    • Turmeric (chronic pain)
    • Flax Seed (breast pain / soreness)
    • Horseradish (sinus)
    • Tomato Juice (leg cramps)
    • Blueberries (bladder infections)
    • Honey (mouth sores)
    • Water (injuries)
    • Coffee (migraines)

    HAYA TUMIENI HAYO MATUNDA KWA KULA KILA SIKU KUNA FAIDA NYINGI NDANI YAKE






 
Unapikaje hvyo vyakula?


1 – GINGER! (MUSCLE PAIN) Tangawiz unachemsha na maji unakunywa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 kwa ajili ya maumivu ya misuli



2 – APPLE CIDER VINEGAR! (HEARTBURN) Siki ya tufaha kijiko 1 unachanganya na maji ya uvuguvugu glasi 1 unakunywa kwa ajili ya kiungulia



3 – CLOVE! (TOOTHACHE) Karafuu unga kwa ajili ya ugonjwa wa meno kuuma au mafizi unapigia mswaki au kutafuna mdomoni



4 – GARLIC! (EARACHE) Kitunguu saumu unakula kwa ajili ya Maumivu ya sikio



5 – CHERRIES! (HEADACHE / JOINT PAIN) Matunda damu unakula kwa ajili kuondosha maumivu viungo vya mwili.



6 – FISH! (STOMACH PAIN) kula samaki kwa ajili kuondowa maumivu ya mfuko wa chakula.




  • Grapes (back pain) Zabibu kula inatibu maumivu ya mgongo.
  • Yogurt (prevents PMS) Mtindi inawasaidia wanawake wenye maumivu wakati wa hedhi.
  • Oats (Endrometrial) ngano nzıma ni kwa ajili kusaidia mfuko wa uzazi kwa akina mama
  • Salt (foot pain) chumvi inasaidia kwa maumivu ya miguu
  • Pineapple (digestive upsets) Kula Nanasi kwa ajili ya kutibu maumivu mmeng'enyo wa chakula
  • Peppermint (muscle pain) Pilipili kali zinasaidia misuli ya mwili kutibu.




  • Turmeric (chronic pain) manjano isaidia maumivu yasiyopona hospitalini chemsha na maji unywe.
  • Flax Seed (breast pain / soreness) Mbegu za katani zinasaidia maumivu ya kifuwa na maumivu mengine ya mwili.




  • Horseradish (sinus) inasaidia maumivu ya mshipa wa pua
  • Tomato Juice (leg cramps) juisiya nyanya inasaidia kuondowa maumivu ya mwili kukakamaa
  • Blueberries (bladder infections) Matunda hayo meusi yansaidia kutibu kibofu cha mkojo maumivu yake
  • Honey (mouth sores) Asali ni dawa kwa kila maradhi kula inatibu maumivu ya mdomo na kila maradhi Asali ni dawa kwa kila maradhi kula.
  • Water (injuries) Maji ni dawa kwa kila maradhi haswa Maji ya uvuguvugu ni tiba tosha kunywa maji.
  • Coffee (migraines) kahwa inatibu maumivu ya kipana uso kuumwa na kichwa upande mmoja.


 
Back
Top Bottom