Kwa mawakala wa M-pesa nisaidieni haya

Kwa mawakala wa M-pesa nisaidieni haya

Innocent Shenyagwa

New Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
3
Reaction score
1
Ningependa kujua namna yakuwezesha till no. Yangu (namba yangu ya uwakala) na huduma yakuuza vocha na vifurushi maarufu kama VODAFASTA inawezekana?
 
Inawezekana ila haifai laini ya uwakala kuifanyia hiyo biashara kwa usalama wa till yako
 
Back
Top Bottom