Kwa mawazo yangu Urusi inataka kurudisha sehemu zake zote zilizovunjika USSR

Kwa mawazo yangu Urusi inataka kurudisha sehemu zake zote zilizovunjika USSR

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika.

Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda mrefu kwa haya na si kwa hayo kwa yoyote ambaye atajaribu kuingilia.

Wakitoka Ukraine tambua Afghan jiandaeni na sehemu nyingine zote ambazo Urusi inaona kama zilishindwa kumudu.
 
Mataifa yataumia na hakutakuwa na wa kuwasaidia...HASARA.
 
Ni ndoto Putin, lakini ni vigumu mno kukamilika, ataishia kulifanya taifa lake liwe maskini na vifo vingi toka vita ya pili ya Dunia.
 
Urusi anapigana na dunia
Anapewa visiraha vya zamani na vichache na angalau himmars kidogo,eti dunia!,mkuu kama angepigana na nato tunahesabu siku tatu katibu mkuu nato anahutubia akiwa Kremlin,acha mchezo na nato,ukraine yupo hapo mlangoni kwake bado anateseka karibia mwaka je wazee wa kazi wangeingia.
Russia alichobakiza kujivunia tu nuclear ambayo hata yeye akianzisha hatapata hata muda wa kitubu atakuwa majivu.
 
Inaonekana ni ndoto za Putin, ataitumbukiza dunia kwenye WW3 akiendelea na hii michezo yake ya karne ya 18.
 
Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika.

Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda mrefu kwa haya na si kwa hayo kwa yoyote ambaye atajaribu kuingilia.

Wakitoka Ukraine tambua Afghan jiandaeni na sehemu nyingine zote ambazo Urusi inaona kama zilishindwa kumudu.
,,
 
Back
Top Bottom