Urusi anapigana na duniaHataweza,kama ukraine imemtoa jasho atamweza finland,poland e.t.c
Anapewa visiraha vya zamani na vichache na angalau himmars kidogo,eti dunia!,mkuu kama angepigana na nato tunahesabu siku tatu katibu mkuu nato anahutubia akiwa Kremlin,acha mchezo na nato,ukraine yupo hapo mlangoni kwake bado anateseka karibia mwaka je wazee wa kazi wangeingia.Urusi anapigana na dunia
,,Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika.
Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda mrefu kwa haya na si kwa hayo kwa yoyote ambaye atajaribu kuingilia.
Wakitoka Ukraine tambua Afghan jiandaeni na sehemu nyingine zote ambazo Urusi inaona kama zilishindwa kumudu.