comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikalini uhai wa gari ni miaka 3- linauzwaHayo ni matumizi mabaya ya V 8 na kodi zetu! Kuna gari rasmi za field kwa barabara za aina hiyo! Hapa anariharibu kwa makusudi ili apate kisingizio cha kulikopa. Lifuatilie kwa makini hilo gari kama mwakani huta kuta analimiki ni mali yake binafsi!
Simu ya macho matatu amenunua kwa pesa yake mwenyewe, hayo ma v8 yamenunuliwa kwa kodi ya wananchi. Hivyo, solution si wao kutembelea V8 ila ni kutengeneza miundombinu hata mwenye passo naye apitewewe una simu ya macho matatu- ndugu zako wote hawana shida hata ya daftari?
Ni miaka 4 au km 100,000. Mara nyingi hii hutumika kwa magari ya viongozi lakini magari mengine ni mpaka uchakavu!serikalini uhai wa gari ni miaka 3- linauzwa
nani alisoma kwa hela yake mwenyewe- wote mlioko humu ndiyo maana mnadharau mama zenu na kusema mko hapo kwa sababu ya wake zenuSimu ya macho matatu amenunua kwa pesa yake mwenyewe, hayo ma v8 yamenunuliwa kwa kodi ya wananchi. Hivyo, solution si wao kutembelea V8 ila ni kutengeneza miundombinu hata mwenye passo naye apite
Hiyo sio obligation kuwalipia. Kodi ni ela ya mwanancho hivyo hao wanasiasa wanapaswa kutatua changamoto sio wao kujinunulia V8 kuzikimbia.nani alisoma kwa hela yake mwenyewe- wote mlioko humu ndiyo maana mnadharau mama zenu na kusema mko hapo kwa sababu ya wake zenu
siyo obligation ya nani? naomba nisaidieHiyo sio obligation kuwalipia. Kodi ni ela ya mwanancho hivyo hao wanasiasa wanapaswa kutatua changamoto sio wao kujinunulia V8 kuzikimbia.
Mawazo yako ni sawa na baba mwenye nyumba anayekula bar na hotelin akidai kuwa hali nyumbani kwasababu kila siku wanapika matembele badala abebe nyama aipeleke nyumban ili kila mtu afaidi.
sijui kama unajua majukumu ya serikali maana naona kama unachanganya majukumu na matamanio yakoHuna akili kwahiyo wanachi nao, wagonjwa nao, wanafunzi nao wapite na V8 ? Serikali inagawa V8 kwa watu wote? Solution hapo ilikua ni kujenga standard road ambayo ni rafiki kwa watumiaji wote shwine wewe au unadhani nani anapswa kujenga barabara kama sio serikali ambayo inakwepa majukumu yake nakukimbilia V8.
Ela yangu si lazima nimsaidie ndugu, watu ambao inapaswa kuwasaidia ni mke wanangu na wazazi, hao wengine ni hisani maana ni pesa yangu mwenyewe si kodi.siyo obligation ya nani? naomba nisaidie
Undhani umefika hapo kwa akili zako na uwezo wako? Umesoma kwa mkopo hata kama unaulipa kwa uchungu usingekopeshwa usingemaliza hata la saba acha ubinafsi- kama unataka wena na kujali anza wewe kwa kuwasidia ndugu zako wa damuEla yangu si lazima nimsaidie ndugu, watu ambao inapaswa kuwasaidia ni mke wanangu na wazazi, hao wengine ni hisani maana ni pesa yangu mwenyewe si kodi.
Turudi kwenye hoja yako ya V8. Solution ya barabra mbovu ni wao kutafuta v8 4wd au kuhakikisha wanatengeneza barabra hizo zisiwe mbovu? Au ndio African way of solving problems. Mafuta ya gari yanachamganywa na ya taa. Soln, omgeza bei ya mafuta ya taa yawe ghali kuliko petrol. 😁
Kiazi kweli kweli, Moja ya kazi kubwa ya Serikali ni kukusanya kodi na hizo kodi zinapaswa kutumika kuboresha huduma za kijamii ikiwemo barabara, Hizo v8 ni Luxury na hazina mchango wowote zaidi yakutuongezea mzigo wa madeni kwenye mikopo ya kimataifa na Inflation.sijui kama unajua majukumu ya serikali maana naona kama unachanganya majukumu na matamanio yako