Kwa mazingira haya bado kuna mtu anasema matumizi ya V8 ni anasa hapa Tanzania

Kwa mazingira haya bado kuna mtu anasema matumizi ya V8 ni anasa hapa Tanzania

Akili Gani hizi sasa, kwa io badala ya kutengeneza barabara ili wananchi wapite solution ni kununua ma v8 sio.. kwa io raia nao wajichange wanunue V8 ili wapite hapo kwenda makwao sio?

Ungekua karibu ningekuchapa vibao
hiyo gari ni 400M unatengeneza barabara kwa hela hiyo?
 
Kiazi kweli kweli, Moja ya kazi kubwa ya Serikali ni kukusanya kodi na hizo kodi zinapaswa kutumika kuboresha huduma za kijamii ikiwemo barabara, Hizo v8 ni Luxury na hazina mchango wowote zaidi yakutuongezea mzigo wa madeni kwenye mikopo ya kimataifa na Inflation.
Hayo ni mawazo ya kinaharakati, inakusanya kodi kutoka wapi na kwaajili ya nini?
 
hiyo gari ni 400M unatengeneza barabara kwa hela hiyo?
Huoni pale tatizo ni culvert au mfereji! Je fedha hizo hazitoshi kutengeneza culvert au kujenga mfereji magari yakapita bila shida kubwa?
 
Undhani umefika hapo kwa akili zako na uwezo wako? Umesoma kwa mkopo hata kama unaulipa kwa uchungu usingekopeshwa usingemaliza hata la saba acha ubinafsi- kama unataka wena na kujali anza wewe kwa kuwasidia ndugu zako wa damu
Nimekopeshwa kodi ya wananchi si huruma ya mwanasiasa. Ubinafsi ni hao unaoeatetea kwamba wao watembelee v8 huku wanaokatwa kodi wakihangaika na barabara mbovu.
Narudia tena kuwasaidoa ndugu si kwamba hatusaidiani tunasaidiana lakini si lazima ni mapenzi tu. Ila serikali inayowajibika inapasea kutumia kodi kujenga miundombinu ili watoa hiyo kodi ambao wengi wao hawawezi nunua hayo mav8 nao wapite
 
Huoni pale tatizo ni culvert au mfereji! Je fedha hizo hazitoshi kutengeneza culvert au kujenga mfereji magari yakapita bila shida kubwa?
Kwa wakandarasi wa Tanzania? Mkuu hivi wewe ni mgeni nchi hii?
 
Nimekopeshwa kodi ya wananchi si huruma ya mwanasiasa. Ubinafsi ni hao unaoeatetea kwamba wao watembelee v8 huku wanaokatwa kodi wakihangaika na barabara mbovu.
Narudia tena kuwasaidoa ndugu si kwamba hatusaidiani tunasaidiana lakini si lazima ni mapenzi tu. Ila serikali inayowajibika inapasea kutumia kodi kujenga miundombinu ili watoa hiyo kodi ambao wengi wao hawawezi nunua hayo mav8 nao wapite
Wanasiasa siyo wananchi?! Sawa nikubaliane na wewe umekopeshwa na wananchi, kwa unavyotka kutuonyesha hapa kuwa wewe ni msafi muungwana na muadilifu- tusingekuona unanunua simu ya macho manne wakati waliokukopesha wakiwemo kwenye familia yako hawana hata ndala
 
Muuliza shemeji yako aliyekukaribisha kwa dada yako ule na kulala Bure.
sasa ukianza kutukana mambo yafuatayo yatatokea:-
1. nitajua huna hoja;
2. wewe ni mjinga; na
3. Nitakupiga
 
Wanasiasa siyo wananchi?! Sawa nikubaliane na wewe umekopeshwa na wananchi, kwa unavyotka kutuonyesha hapa kuwa wewe ni msafi muungwana na muadilifu- tusingekuona unanunua simu ya macho manne wakati waliokukopesha wakiwemo kwenye familia yako hawana hata ndala
Nmekopeshwa nimelipa ni one of the services ijayotolewa na serikali tena nmelipa na riba juu. Elewa concept ndogo, hizo gari zinanunuliwa kwa pesa ya kodi ndio maana hapo wayu hawahoji magari aliyonunua kwa pesa yake aliyopata baada ya kusomeshwa kwa kodi ya wananchi hiyo hatuhusu.
Shida iko kwenye kutumia kodi ya wananchi kununua v8 wewe upite vizuri halafu walipa kodi watajua wenyewe watapitaje.
 
Kumbe- unaweza nisaidia fedha ya kukukopesha ilitoka wapi?
 
Kumbe- unaweza nisaidia fedha ya kukukopesha ilitoka wapi?
Pesa ya kunikopesha ilitokana na kodi. Ni mojawapo ya services za serikali kwa wananchi maana si kwamba wanakufanyia favor, unasoma unarudi kuwatumikia na unalipa plus riba.
Sasa V8 ni kodi ambayo anayelitumia halilipii. Mind you miaka yote nilikopeswa pesa isiyozidi milion 12 kwa miaka 3, wakati v8 moja ni zaidi ya milion 200. Narudia, mbadala wa V8 ni kuunda barabara hata gari fupi zipite vizuri. Yani solution ya barabara mbovu ni viongozi kutembelea V8? Kweli? Na wewe unaona sawa kabisa?
Solution kama hawataki tupatia mikopo, ni kufanya elimu iwe bure kabisa.
 
Hivi kigezo kikuu cha kuwa mwanaccm ni kuwa mjinga au mie ndio sielewi🙆🙆🙆🙆
 
Wangetengeneza barabara hata IST ingepita na ukali hapo.
 
Huna akili ,misafara inakuwa na gari mpaka kumi,ni afadhali hizo pesa wangepanda ndege zikibaki waboreshe hizo bara bara Kwa kuwa gharama
 
Back
Top Bottom