hiyo gari ni 400M unatengeneza barabara kwa hela hiyo?Akili Gani hizi sasa, kwa io badala ya kutengeneza barabara ili wananchi wapite solution ni kununua ma v8 sio.. kwa io raia nao wajichange wanunue V8 ili wapite hapo kwenda makwao sio?
Ungekua karibu ningekuchapa vibao
Hayo ni mawazo ya kinaharakati, inakusanya kodi kutoka wapi na kwaajili ya nini?Kiazi kweli kweli, Moja ya kazi kubwa ya Serikali ni kukusanya kodi na hizo kodi zinapaswa kutumika kuboresha huduma za kijamii ikiwemo barabara, Hizo v8 ni Luxury na hazina mchango wowote zaidi yakutuongezea mzigo wa madeni kwenye mikopo ya kimataifa na Inflation.
Huoni pale tatizo ni culvert au mfereji! Je fedha hizo hazitoshi kutengeneza culvert au kujenga mfereji magari yakapita bila shida kubwa?hiyo gari ni 400M unatengeneza barabara kwa hela hiyo?
Muuliza shemeji yako aliyekukaribisha kwa dada yako ule na kulala Bure.Hayo ni mawazo ya kinaharakati, inakusanya kodi kutoka wapi na kwaajili ya nini?
Nimekopeshwa kodi ya wananchi si huruma ya mwanasiasa. Ubinafsi ni hao unaoeatetea kwamba wao watembelee v8 huku wanaokatwa kodi wakihangaika na barabara mbovu.Undhani umefika hapo kwa akili zako na uwezo wako? Umesoma kwa mkopo hata kama unaulipa kwa uchungu usingekopeshwa usingemaliza hata la saba acha ubinafsi- kama unataka wena na kujali anza wewe kwa kuwasidia ndugu zako wa damu
Wanasiasa siyo wananchi?! Sawa nikubaliane na wewe umekopeshwa na wananchi, kwa unavyotka kutuonyesha hapa kuwa wewe ni msafi muungwana na muadilifu- tusingekuona unanunua simu ya macho manne wakati waliokukopesha wakiwemo kwenye familia yako hawana hata ndalaNimekopeshwa kodi ya wananchi si huruma ya mwanasiasa. Ubinafsi ni hao unaoeatetea kwamba wao watembelee v8 huku wanaokatwa kodi wakihangaika na barabara mbovu.
Narudia tena kuwasaidoa ndugu si kwamba hatusaidiani tunasaidiana lakini si lazima ni mapenzi tu. Ila serikali inayowajibika inapasea kutumia kodi kujenga miundombinu ili watoa hiyo kodi ambao wengi wao hawawezi nunua hayo mav8 nao wapite
Ndiyo! Kwani tatizo ni wakandarasi au wasimamizi wa wakandarasi?Kwa wakandarasi wa Tanzania? Mkuu hivi wewe ni mgeni nchi hii?
Nmekopeshwa nimelipa ni one of the services ijayotolewa na serikali tena nmelipa na riba juu. Elewa concept ndogo, hizo gari zinanunuliwa kwa pesa ya kodi ndio maana hapo wayu hawahoji magari aliyonunua kwa pesa yake aliyopata baada ya kusomeshwa kwa kodi ya wananchi hiyo hatuhusu.Wanasiasa siyo wananchi?! Sawa nikubaliane na wewe umekopeshwa na wananchi, kwa unavyotka kutuonyesha hapa kuwa wewe ni msafi muungwana na muadilifu- tusingekuona unanunua simu ya macho manne wakati waliokukopesha wakiwemo kwenye familia yako hawana hata ndala
Kumbe- unaweza nisaidia fedha ya kukukopesha ilitoka wapi?Nmekopeshwa nimelipa ni one of the services ijayotolewa na serikali tena nmelipa na riba juu. Elewa concept ndogo, hizo gari zinanunuliwa kwa pesa ya kodi ndio maana hapo wayu hawahoji magari aliyonunua kwa pesa yake aliyopata baada ya kusomeshwa kwa kodi ya wananchi hiyo hatuhusu.
Shida iko kwenye kutumia kodi ya wananchi kununua v8 wewe upite vizuri halafu walipa kodi watajua wenyewe watapitaje.
Pesa ya kunikopesha ilitokana na kodi. Ni mojawapo ya services za serikali kwa wananchi maana si kwamba wanakufanyia favor, unasoma unarudi kuwatumikia na unalipa plus riba.Kumbe- unaweza nisaidia fedha ya kukukopesha ilitoka wapi?
Kama barabara zingetengenezwa vizuri bila kuwa na 10% huo ubaya wa barabara ungetooka wapi
Hivi ni wajinga kweli au wanajitoa ufahamu tu?Hivi kigezo kikuu cha kuwa mwanaccm ni kuwa mjinga au mie ndio sielewi๐๐๐๐
Yote mawili yanawezekana.Hivi ni wajinga kweli au wanajitoa ufahamu tu?