Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu.
Mama ameweka mazingira mazuri kiasi ambacho biashara zimeshamili kila kona. Hata muuza karanga tu anaona mzunguko wa pesa umekuwa mkubwa na humwambii kihusu kuajiriwa.
Au kuqjiriwa ni mentality ya vijana kwamba ili uonekane umesoma lazima uajiriwe? Mana haina mana kwa sasa kuajiriwa.
Kipindi cha jpm nakubali kwamba ili usurvive lazima utafute ajira mana kila kitu kilienda mlama kiasi ya wafanyabiashara kuaogopa kuanzisha new businesses mana utaambiwa ni mhujumu ucumi hasa ukiwa chadema au ukikosana na mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya.
Vijana changamkieni fursa hii.