Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

Lakini mkuu wewe si una mke
Shida ya watanzania wengi sio makini kwenye usomaji wa habari yoyote include wewe ukishi na mwanamke yoyote ndani ya mwaka mmoja kisheria huyo anakuwa ni mke wako ndio maana nikasema ninaishi naye ni kama mke na Mume na huyo mwanamke ndio huyu huyu niliyomwandika leo
 
Wanaume tuna level ya heshima kwa wanawake tunaohusiana nao.

Wanaume wengi tunaweza kukuambia fulani nimemshona na huyo fulani ni one night stand au mchepuko.

Lakini mwanamke unayeishi naye na unampenda mpaka unajiona utakua naye muda mrefu hauwezi kuwaambia watu kwamba umemshona/ unamshona. Tunaassume tukikuambia tunaishi naye na tunapendana basi logically utajua kua hata sex inatokea.

Mi naona mleta uzi ana akili za kitoto bado.

NB. Hata michepuko kuna baadhi inaheshimiwa kuliko michepuko mingine.
 
Majibu ya Docta mwaka utayapata kaa kwa kutulia tu mkuu
 
Kwao na binti Wana Imani kali ya dini ??wanajua Kama mtoto wao unaishi nae geto almost mwaka?? Au imani yao ya dini io kali inasemaje juu ya nyinyi kuishi wote???
 
Wana imani kali au wana dini kali[emoji13]. Wewe peleka washenga acha uhuni na usibadili dini nyie watu wa Dini huwezi jiita Mkristo afu hufati Matendo yake kristo. Mkristo maanake mfuasi. Sa hivi wewe ni Mwanadini haupo kwenye upagani ila maana mpaka sasa Dini na viongozi wako hawajakusaidia na sadaka unawapa na zaka wanakula kifupi unachunwa huko unakoabudu. Sasa tubu tamani ukutane na Yesu katika Moyo wako akusaidie utaoa wala hakuna atakae kuhoji hoji juu ya imani yako baada ya Yesu kuingilia. Yesu anataka uoe uache kumurudisha Msalabani kwa dhambi ambazo alisha zimaliza. Do it man
 
Sawa
 
[emoji848][emoji848]duh
 
Nduguzanguni nilipitia mahusiano ambayo yalinipa stress Sana drama zilikuwa haziishi kutokana na hivyo ikanifanya niachane na huyo binti na ikapelekea nijipe break kidogo ya mahusiano.
Ilinichukua miezi 6 bila kuwa na mahusiano wala kufanya mapenzi.
Miezi sita unaona ni kama miaka 10.

Mama Samia njoo uone wanao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…