- Thread starter
- #141
Hata ukakupa baada ya wiki au mwezi haibadilishi chochote😂😂😂umetongoza leo kesho yake ukapewa mzigo,, eeeh kwakweli shetani akizeeka huwa malaika hongera yako kumpata shetani mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukakupa baada ya wiki au mwezi haibadilishi chochote😂😂😂umetongoza leo kesho yake ukapewa mzigo,, eeeh kwakweli shetani akizeeka huwa malaika hongera yako kumpata shetani mzee
Badili dini kisha oa kabisa kama nilivyofanya mimi
Fuatilia kisa changu Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"
Wewe ulikuwa dini gani? Maana nimeshindwa kusoma kisa chako maana ni kirefu mnoBadili dini kisha oa kabisa kama nilivyofanya mimi
Fuatilia kisa changu Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"
Nilikuta wazazi wangu wanasalia Kanisani Roman CatholicWewe ulikuwa dini gani? Maana nimeshindwa kusoma kisa chako maana ni kirefu mno
Hapana tuliachana kwa sababu hizi hizi za kidini hasa upande wa wazazi wake hawakupenda waliwahi kuja kaka yake pale akafanya fujo hatari na nikapewa vitishoAny updates??? Bila shaka ushaweka hilo jiko ndaniiii