Kwa mbinu za Huyu Nooj hata tungekuwa na Ronaldo Na Messi kwenye timu ya Taifa hatuwezi shinda mech

peace.peace14

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
214
Reaction score
36
Nooj hajui lolote.Si kwamba tulikuwa tunafanya vizuri saaaaaana ila sasa hivi ni too much!

Kama wakati wa Kim Poulsen tulizifunga timu Kubwa tu Cameroon,Zambia,Moroco na hizi Rwanda na Burundi hazikutubabaisha. Hata Kama tulifungwa uliona Mpira na tulipambana. Inasikitisha sasa hivi hata Lesotho na Madagascar wanatufunga! Hata sijui linafundisha fomesheni gani.

Mpira umezidi kudumaaa.Kiufupi Nooj hajui analofanya na hilo linaanzia kwenye uteuzi wa wachezaji.

Mimi Nasema Kwa mbinu za Huyu Nooj hata tungekuwa na Ronaldo Na Messi kwenye timu ya Taifa hatuwezi shinda mechi hata moja!
 
Huyu jamaa nadhani ni msimamizi wa mazoezi siyo kocha,nashangaa mpaka leo bado anapeta!..
 
Hongera sana kwa kuwa na roho ngumu Kuishabikia hiyo timu,mm nilishaacha siku nyingi.
 
embu nitajie ni kocha gani hapa duniani anaweza kuipeleka stars can kwa aina ya wachezaji tulionao,
 
tatizo ni huyu mmbuzii Jamal Malinzi ...huyu ndiye tatizo...mtu yupo yupo tu...hakuna cha maana
 
Last edited by a moderator:
embu nitajie ni kocha gani hapa duniani anaweza kuipeleka stars can kwa aina ya wachezaji tulionao,

Ni jukumu la nani ku identify wachezaji...kuwanoa na kupanga timu ya ushindi?
 
Ni jukumu la nani ku identify wachezaji...kuwanoa na kupanga timu ya ushindi?
nafikiri hujanielewa wewe, umeskia yanga wanataka waongezewe idadi ya wachezaji wa kigeni, tatizo tanzania hakuna wachezaji kabisa, na shughuli ya kuandaa wachezi sio ya mwaka mmoja au miwili ni ya muda mrefu kwahiyo malinzi hawezi leo akaanda wachezaji ambao wataenda can, anachofanya malinzi ni kuandaa soka bora la 2025 huko
 
Tusilaumu makocha bongo tuna wachezaji vichwa butu sio leo wala miaka ya nyuma.
 
Yanga kuongezewa wachezaji wa kigeni aina ile ya waliberia na wabrazil wabovu? hawa ni wachezaji gan kulinganisha na waki bongo? tz wapo wachezaji wazuri na wapo vichwa ngumu wanaoridhika haraka. wachezaji wapo wazur sana sema weng hawajajua bado kuwa mpira ndo kazi yao kama wanavyojua akina okwi et al. pia kuna haja ya kuwapa darasa wachezaji hawa skills za mpira na jins gan mpira unaweza kuwa ni kazi ya kuendesha maisha yao kwa ujumla. weng bado hawajielew na utoto utoto mwing. tatizo lingine pia ni WAANDISHI WETU WA HABAR WANAUA SANA WACHEZAJI WETU... mtu anaweza kuwa wa kawaida lakini mara awapo team flan basi atafanishwa na messi ,ronaldo n.k. huku ni kuwaharibu wachezaj wetu..
 
Nakwambia Henri ya Marcio na Kim walikuwa na afafhali. Marcio alitupeleka CHAN. Huyu hata fomesheni haieleweki!

Time inajengwa tokea nyuma. Huyu Nooj hat Huwezi Kusekwa strength ya time yetu iko Wapi.

Marcio alikuwa na timu inacheza counter attack.

Kim Poulsen alikuwa na timu inayotandaza ball. Tulikuwa tunafungwa Kwa Tabu Sanaa. Na tulishinda kimipango.

Kweli tunahitaji mipango ya Munda Mrefu, lakini so far I afadhali tumpe Mzawa Hii timu.

Kingine me chi Nyingi za Nooj ni za kirafiki ambaz anachagua vibonde na bado vinamtoa Jasho.

COSAFA imemuexpose kwamba in competitive matches hatufiki popote. Subiri Muziki wa Uganda,Nigeria na Misri.

Nakuhakishia Kwa timu Hii Tegemea tano bila za kutosha

Mimi narudia kocha ni Bomu na ninarepharse Swali langu Huyu angekuwa kocha wa Barcelona au Madrid zingekuwaje?
 
Rubaman mwangalie Ngasa wa Yanga na Ngasa wa Nooj au Yule wa Marcio. Mwangalie Abubakar wa Azam na Yule wa Noorj.

Mwangalie Mwinyi Kazimoto wa Nooj na Yule wa Kim Poulsen. Ubutu ni wa Kocha sio wachezaji!

Sasa hivi si ameeita wachezaji wanaotamkwa Sana na wanaofanya vizuri. Subiri uone Madudu watakayofanya CHAN

Kocha Hana Mbinu! nakwambia Malinzi Alifanya Kioja cha mwaka kumuondoa Kim Poulsen.


Siasa na kulipiza Kisasi Kwa timu ya Tenga ndiyo sababu ya yote haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…