peace.peace14
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 214
- 36
Nooj hajui lolote.Si kwamba tulikuwa tunafanya vizuri saaaaaana ila sasa hivi ni too much!
Kama wakati wa Kim Poulsen tulizifunga timu Kubwa tu Cameroon,Zambia,Moroco na hizi Rwanda na Burundi hazikutubabaisha. Hata Kama tulifungwa uliona Mpira na tulipambana. Inasikitisha sasa hivi hata Lesotho na Madagascar wanatufunga! Hata sijui linafundisha fomesheni gani.
Mpira umezidi kudumaaa.Kiufupi Nooj hajui analofanya na hilo linaanzia kwenye uteuzi wa wachezaji.
Mimi Nasema Kwa mbinu za Huyu Nooj hata tungekuwa na Ronaldo Na Messi kwenye timu ya Taifa hatuwezi shinda mechi hata moja!