Kwa Mbunge huyu, Tarime Mjini tumepigwa

Kwa Mbunge huyu, Tarime Mjini tumepigwa

Afage

Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
46
Reaction score
66
Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake.

Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime.

Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani.

Hata ofisi yake ya mbunge haijulikani nani katibu wake.

Anadharau wapiga kura wake, wafanyakazi wake mpaka serikali maana yeye Hana dereva anajiendesha mwenyewe.

Mbaya Zaid anajioenyeza Serengeti akagombee huko baada ya kujua Tarime hapendeki
 
KEMBAKI Ni chaguo la Mungu kwa Wana Tarime Mjini kwa ujumla sisi wananchi wa Jimbo hili tunampenda sana.

Kajitahidi Sana kulipambania Jimbo hili kwa kila namna,ujenzi wa MASHULE,sekta ya afya na hata miundombinu.kama huamini njoo ushuhudie maendeleo yaliyopo.

KEMBAKI inapotokea shida hufika eneo husika kwa ajili ya kulitatua mfano ameshiriki utatuzi wa migogoro Kati ya jeshi na wananchi nyandoto/bugosi,kashiriki harambee za ujenzi wa mashule.mfano sabasaba sekondari,kenyamanyori na maeneo mengi.

Mlio na chuki na mhe.kembaki pole Sana kwani sisi wapiga kura wake tunaona anayoyafanya.
 
Mtajuana wenyewe, mlimpigia kura wenyewe bila kulazimishwa, si mlisema mkibaki wenyewe bungeni mtapanga yenu na mtayapitisha, haya sasa tumewaachia bunge kuleni kwa urefu wa kamba zenu kama alivyoagiza mwenyekiti wenu
 
Ujinga tu......wajumbe mulipokua munapokea hela zake za rushwa ili mumpitishe hayo ndio matokea yake........CCM NI LAANA KWA HII NCHI
 
Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake.

Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime.

Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani.

Hata ofisi yake ya mbunge haijulikani nani katibu wake.

Anadharau wapiga kura wake, wafanyakazi wake mpaka serikali maana yeye Hana dereva anajiendesha mwenyewe.

Mbaya Zaid anajioenyeza Serengeti akagombee huko baada ya kujua Tarime hapendeki
Si alisimama jukwaani mkamuona!?
 
KEMBAKI Ni chaguo la Mungu kwa Wana Tarime Mjini kwa ujumla sisi wananchi wa Jimbo hili tunampenda sana.

Kajitahidi Sana kulipambania Jimbo hili kwa kila namna,ujenzi wa MASHULE,sekta ya afya na hata miundombinu.kama huamini njoo ushuhudie maendeleo yaliyopo.

KEMBAKI inapotokea shida hufika eneo husika kwa ajili ya kulitatua mfano ameshiriki utatuzi wa migogoro Kati ya jeshi na wananchi nyandoto/bugosi,kashiriki harambee za ujenzi wa mashule.mfano sabasaba sekondari,kenyamanyori na maeneo mengi.

Mlio na chuki na mhe.kembaki pole Sana kwani sisi wapiga kura wake tunaona anayoyafanya.

Aliyekubalika Happ alikuwa Esther Matiku sema naye kiburi kikajaa.
 
Mtajuana wenyewe, mlimpigia kura wenyewe bila kulazimishwa, si mlisema mkibaki wenyewe bungeni mtapanga yenu na mtayapitisha, haya sasa tumewaachia bunge kuleni kwa urefu wa kamba zenu kama alivyoagiza mwenyekiti wenu
Kwani mleta Uzi kasema katumwa na Wana tarime wote? Au kajisemea yeye tuu?
Chadema kweli buree kabisa.
 
Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake.

Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime.

Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani.

Hata ofisi yake ya mbunge haijulikani nani katibu wake.

Anadharau wapiga kura wake, wafanyakazi wake mpaka serikali maana yeye Hana dereva anajiendesha mwenyewe.

Mbaya Zaid anajioenyeza Serengeti akagombee huko baada ya kujua Tarime hapendeki
Kuna ofisi ya mbunge, kwani kukaa hapo ndio kutatua changamoto?
 
KEMBAKI Ni chaguo la Mungu kwa Wana Tarime Mjini kwa ujumla sisi wananchi wa Jimbo hili tunampenda sana.

Kajitahidi Sana kulipambania Jimbo hili kwa kila namna,ujenzi wa MASHULE,sekta ya afya na hata miundombinu.kama huamini njoo ushuhudie maendeleo yaliyopo.

KEMBAKI inapotokea shida hufika eneo husika kwa ajili ya kulitatua mfano ameshiriki utatuzi wa migogoro Kati ya jeshi na wananchi nyandoto/bugosi,kashiriki harambee za ujenzi wa mashule.mfano sabasaba sekondari,kenyamanyori na maeneo mengi.

Mlio na chuki na mhe.kembaki pole Sana kwani sisi wapiga kura wake tunaona anayoyafanya.

JF bhana! Yaani ni msitu mnene kweli kweli! Usikute wewe ndiye huyo Kembaki mwenyewe eti! Umeamua ujitetee! 😬😬😬
 
Back
Top Bottom