Kwa mchanganuo huu Yanga mtakufa kwa madeni

Kwa mchanganuo huu Yanga mtakufa kwa madeni

pole mzee,JF Ishakuwa Roho Mkononi............

Unajua kilichosababishwa nifungiwe ni nini, nilisema kuwa sometimes mods wanatupiga ban kwa sababu za kijinga, ndo maana huo ujumbe wao unasema wajinga wajinga wamenifungia tena!

Kwa kweli sikuona mantiki ya mimi kufungiwa, anyway, JF ni ya kwao bana.
 
Back
Top Bottom