Unajua kilichosababishwa nifungiwe ni nini, nilisema kuwa sometimes mods wanatupiga ban kwa sababu za kijinga, ndo maana huo ujumbe wao unasema wajinga wajinga wamenifungia tena!
Kwa kweli sikuona mantiki ya mimi kufungiwa, anyway, JF ni ya kwao bana.