Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawasubiri ila asije akaja wa shivas pale akanipiga na kitu kizitoNgoja wanakuja
wamtafute mandonga mtu kazi, mimi nataka tutakayefanana nayeelezea vizuri kwa insha unataka kumfanyaje, tuanzie hapo. nina dada zangu wengi huko wengine mabondia ila ni pisi kali
si jitu bhana mdada flani mple aliyemaliza ujana!linatafutwa jitu...
umeona eeh kazi kwaoHiyo age gap ina candidates wa kutosha.
yanatibika na ukimwi hauna ishu sana kutana na kisukari wewe utakata tamaa ya maisha na jinsi mkojo unavyokujaga kimasihara!Yapo magonjwa mengi yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana
Nayo baadhi ni UKIMWI, kaswende,kisonono, ini,,,nk
sasa hivi jua kaliBrd imechachamaa
Heeeeh 😂😂😂Haiombwi hivyo 🤣
Baridi lipo nchi nzima, hata dar lipo
😁😁 Usimkatishe tamaaHaiombwi hivyo 🤣
Baridi lipo nchi nzima, hata dar lipo