KWA MDADA ANATEJITAMBUA

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habari wadada'
Mimi nipo hapa JF miaka mingi saana......na nimegundua kuwa hapa ni sahihi kwa watu sahihi!
Nisiandike saana mm ni mwaume wa miaka 32 sasa najitambua nafanya kazi na naendesha maisha yangu' naomba kwa mdada yoyote anayejitambua tuwe marafiki Mungu akijaalia tuwe wapenz mpaka mke na mume kama tutaendana'

Maelezo zaidi na kufahamiana zaidi naomba tukutane PM

Karibuni saana
 
Miaka yote hiyo hujawahi kuwa na mpenzi?
 
Tangazo la Leo halitaki watu wa degree na ma master ngoja darasa la saba c tuje PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…