Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nimeingia asubuhi hii Zanzibar baada ya kutoka South Africa, kwakweli nimekuja Zanzibar kuangalia fursa za biashara. Nimekuwa nikitamani sana kufanya biashara, na mara nyingi nimekuwa nikitamani kupata rafiki wa kike ambaye tutafanya naye biashara.
Asiwe sister du insta mikucha. Hawa huwa hawataki kazi. Wakikaa muda wote wanatengeneza kucha zao ndefu na kuperuzi Instagram. Hawataki kazi yoyote. Hata kwenye mapenzi wanainama tu wanatumia kama wanakinga nini sijui.
Natamani nipate dada mzuri na kichwani yupo vizuri tuwe marafiki, zaidi zaidi awe na uwezo mzuri wa kufanya biashara. Aje na mawazo na mipango mikakati. Mtaji natoa mimi.
Nimekuja Zanzibar natamani kama pia kuna mtu ataona fursa tushirikishane. Mimi ni mwajiriwa lakini natamani niwe na chanzo kingine cha mapato. Shughuli zangu zinanifanya nisafiri sana ndani na nje ya nchi.
Na niseme wazi tu, nimeoa na nina watoto wachache tu. Mke wangu hapendi biashara, nimemshawishi imeshindikana kwahiyo huko sina la kufanya.
Zanzibar mnaweza nipeleka Mchambawima na Makunduuchi nikawaone wenyeji wa huko wakoje?