Kwa.mdamufupi niriokaa jami.flamu

.......unaweza kuwa na lengo zuri kabisa kama hili la kumpongeza Bw.Robert Heriel Kwa kazi zake nzuri humu, lakini ukapoteza lengo hilo kwa hii staili ya uandishi, kwani wengi wanaweza kupotezea kusoma soon wakiona aya ya kwanza au hata title ..........
inawezekana pia hii ndio identity yako na pengine unataka kuwa funny kwa wasomaji(kuwafurahisha) lakini badala yake wanaweza wafanya kuboreka.....hii ilikuwa nzuri ulipoileta kwa mara ya kwanza, it was so funny but kuendelea namna hii haikai sawa coz inasumbua kusoma kidogo ......
nb: simaanishi kwamba mi ndo najua kuandika, inawezekana kabisa kuna namna nakera watu humu pia....
 
Ukisikia ukuda ndo huu Sasa😬
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mecheka sanaaaa! πŸ˜„πŸ€£
Duh! Kweli maisha hayataki stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…