Hivi kumbe stand wanahongaee....Stand united wasipohonga marefa hiyo mechi naona wakilishwa mkono!
Hatimae yule Mnyama mkali, mwenye nguvu na makucha makali pengine kuliko wanyama wote mwituni.. Simba kamaliza nusu ya raundi ya kwanza ya VPL kwa kishindo kikuu.
Kamaliza hii duru kwa staili ya pekee kabisa..
1. Akiwa kileleni
2. Akiwa hajapoteza mechi hata moja
3. Akitafuna kila kitoweo kilicho mbele yake
4.Akitandaza soka maridadi kabisa, ambalo limekua gumzo Africa Mashariki na Kati [CECAFA] n.k
Ili kumalizia raundi ya kwanza ya ligi kuu, msimu huu.. Mnyama kabakisha mechi hizi;
15.10.2016: Simba S.C Vs KAGERA SUGAR
20.10.2016: Simba S.C Vs MBAO FC
23.10.2016: Simba S.C Vs TOTO AFRICAN
29.10.2016: MWADUI FC Vs Simba S.C
02.11.2016: STAND UNITED Vs Simba S.C
06.11.2016: AFRICAN LYON Vs Simba S.C
NOTE:TANZANIA PRISONS Vs Simba S.C.. Itapangiwa Siku.
Ukiangalia hizo mechi 8 zilizobaki kwa umakini mkubwa.. Utagundua hakuna timu yenye uthubutu wa kumzuia Mnyama, kumaliza raundi ya kwanza ya ligi msimu huu akiwa kileleni.
SIMBA SPORTS CLUB.. NGUVU MOJA.
Ila Yanga alikula zake kihalali.Hivi kumbe stand wanahongaee....
Hesabu asubuhi.Ligi bado saaaana tu.
Hahaaaaa, akifungwa yanga mnasema hajui, ila simba refa kawafungisha, mko vizuri sana kimtizamo aiseeIla Yanga alikula zake kihalali.
hapa ndo ujue kwanini waliitwa mbumbumbu,kwa yanga ni mpira ila kwa simba ni uonevu.Hahaaaaa, akifungwa yanga mnasema hajui, ila simba refa kawafungisha, mko vizuri sana kimtizamo aisee
Yanga IPO wazi ushindi kuhonga marefa na wachezajihapa ndo ujue kwanini waliitwa mbumbumbu,kwa yanga ni mpira ila kwa simba ni uonevu.
una ushahidi uniwekeee?mimi nna ushahidi kupitia kessy simba kutaka kumhonga akiwa mtibwaYanga IPO wazi ushindi kuhonga marefa na wachezaji
Peleka Takukuru kukaa nao bila action ni ujinga tuuuna ushahidi uniwekeee?mimi nna ushahidi kupitia kessy simba kutaka kumhonga akiwa mtibwa
Hahaaaaa, mbona wewe husemi takukuru?Peleka Takukuru kukaa nao bila action ni ujinga tuu
ww unadhan kila mjinga huwa anaelishwa?,Mkuu.. wewe mwenye ufahamu wa hali ya juu sana kuhusu mpira ulivyo, unaonaje ukatutoa tongo tongo sisi tunaoshabikia kwa kufuata mkumbo?
Wahenga wana msemo wao.. "ulichopewa bure.. toa bure".