Kwa mechi hizi.. Hakuna timu ya kumzuia Simba S.C ....

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Hatimae yule Mnyama mkali, mwenye nguvu na makucha makali pengine kuliko wanyama wote mwituni.. Simba kamaliza nusu ya raundi ya kwanza ya VPL kwa kishindo kikuu.

Kamaliza hii duru kwa staili ya pekee kabisa..
1. Akiwa kileleni
2. Akiwa hajapoteza mechi hata moja
3. Akitafuna kila kitoweo kilicho mbele yake
4.Akitandaza soka maridadi kabisa, ambalo limekua gumzo Africa Mashariki na Kati [CECAFA] n.k

Ili kumalizia raundi ya kwanza ya ligi kuu, msimu huu.. Mnyama kabakisha mechi hizi;
15.10.2016: Simba S.C Vs KAGERA SUGAR
20.10.2016: Simba S.C Vs MBAO FC
23.10.2016: Simba S.C Vs TOTO AFRICAN
29.10.2016: MWADUI FC Vs Simba S.C
02.11.2016: STAND UNITED Vs Simba S.C
06.11.2016: AFRICAN LYON Vs Simba S.C

NOTE:TANZANIA PRISONS Vs Simba S.C.. Itapangiwa Siku.

Ukiangalia hizo mechi 8 zilizobaki kwa umakini mkubwa.. Utagundua hakuna timu yenye uthubutu wa kumzuia Mnyama, kumaliza raundi ya kwanza ya ligi msimu huu akiwa kileleni.

SIMBA SPORTS CLUB.. NGUVU MOJA.
 
Attachments

  • 1476310565488.jpg
    1476310565488.jpg
    26.4 KB · Views: 180
Marefa wamlinde Kichuya bwana.Haiwezekani star kama Kichuya kila akishika mpira watu wanne wanamkaba na kumumiza.Tunatakiwa kulea vipaji vyetu.Mbona Ngoma analindwa sana.Tupende vyetu Bwana!
Ni kweli Mkuu.. Haiwezekani na haikubaliki hata kidogo, jinsi refa alivyoshindwa kuwaadhibu waliokua wakimchezea vibaya Kichuya.. Matokeo yake.. 'Mchezaji bora wa VPL kwa sasa akashdwa kuendelea.
Refa, TFF wamekuona.. Mungu pia amekuona.
 
Hahaaa, mnatafuta sababu Yanga wakikatiza kama mpo na baiakeli ya miti mpate cha kusema, nyie tulieni hivyohivyo.
 
Mkuu.. Hapo hakuna sababu.. Maana kama mechi tumeshinda.. Pointi 3 tumechukua.. Ila tunachokizungumza hapa.. Marefa wanatakiwa wamlinde sana 'hazina ya taifa' ya Taifa.. Kichuya.
Alafu hivi unajua mechi ijayo mnacheza na timu gani?? Na weekend ifike haraka.
 
Kwa maana hiyo unataka kusema refa awe bize kukimbia na huyo chuya wenu ili wasimuumize sio!!
 
Kuna watu mnashabikia mpira kufata mkumbo wala hamuujui mpira ulivyo!
 
Mkuu.. wewe mwenye ufahamu wa hali ya juu sana kuhusu mpira ulivyo, unaonaje ukatutoa tongo tongo sisi tunaoshabikia kwa kufuata mkumbo?
Wahenga wana msemo wao.. "ulichopewa bure.. toa bure".
 
Niliposema kumlinda.. Sikua na maana hiyo.
Hivi kuna uwezekano wa refa kunlinda mchezaji au mnatafua sababu tuu?, kungekua na uwezekano huo hata wachezaji wa ulaya wasingekua wanaumizwa
 
Takwimu zinaonesha mpaka sasa Kichuya ndiyo mchezaji pekee katika VPL, aliyechezewa rafu nyingi sana. Hivyo ili kumlinda asistaafishwe mapema.. marefa wanatakiwa wawe wanatoa adhabu kali kwa wanaojaribu kumuondoa mchezoni kwa makusudi.
 
Hizo ni mbinu za kimpira, sio kila rafu refa anaweza kuiona kiusahihi pia inaonyesha huyo chuya huwa anajiendeapo tuu bila kujilinda yeye kama ushawahi kucheza mpira utanielewa.
 
Yap niliwahi kucheza.. na nilistaafishwa nikiwa vidudu, baada ya kuchezewa rafu mbaya sana.. Ila asante kwa darasa.
 
Hatimae yule Mnyama mkali, mwenye nguvu na makucha makali pengine kuliko wanyama wote mwituni.. Simba kamaliza nusu ya raundi ya kwanza ya VPL kwa kishindo kikuu.

Kamaliza hii duru kwa staili ya pekee kabisa..
1. Akiwa kileleni
2. Akiwa hajapoteza mechi hata moja
3. Akitafuna kila kitoweo kilicho mbele yake
4.Akitandaza soka maridadi kabisa, ambalo limekua gumzo Africa Mashariki na Kati [CECAFA] n.k

Ili kumalizia raundi ya kwanza ya ligi kuu, msimu huu.. Mnyama kabakisha mechi hizi;
15.10.2016: Simba S.C Vs KAGERA SUGAR
20.10.2016: Simba S.C Vs MBAO FC
23.10.2016: Simba S.C Vs TOTO AFRICAN
29.10.2016: MWADUI FC Vs Simba S.C
02.11.2016: STAND UNITED Vs Simba S.C
06.11.2016: AFRICAN LYON Vs Simba S.C

NOTE:TANZANIA PRISONS Vs Simba S.C.. Itapangiwa Siku.

Ukiangalia hizo mechi 8 zilizobaki kwa umakini mkubwa.. Utagundua hakuna timu yenye uthubutu wa kumzuia Mnyama, kumaliza raundi ya kwanza ya ligi msimu huu akiwa kileleni.

SIMBA SPORTS CLUB.. NGUVU MOJA.
Stand united wasipohonga marefa hiyo mechi naona wakilishwa mkono!
 
Mkuu.. Kwa sasa Stand hawana hela hiyo.. Maana yule mdhamini wake aliyekua akimpa kiburi kashajitoa.. Hivyo kapu la magoli lazima liwahusu tu.. Hao wanaodai Kambarage Stadium ni machinjio.. Sisi tutaenda kuupangia kazi nyingine, kama tulivyofanya jana Sokoine Stadium.
 
Back
Top Bottom