Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena ni ujinga kwel kwel kama ujinga wa lala mbelePeleka Takukuru kukaa nao bila action ni ujinga tuu
We mbumbumbu member hebu anza wewe kwenda takukuru kupeleka hayo malalamika ya yanga kuhongaPeleka Takukuru kukaa nao bila action ni ujinga tuu
Wewe kima huna hadhi ya kuniita mbumbumbu wewe you are just a begotten guy idiot?!!We mbumbumbu member hebu anza wewe kwenda takukuru kupeleka hayo malalamika ya yanga kuhonga
Mkuu hawa ni waathirika wa vyeti feki wametumbuliwa sasa wana stress ya maisha na badoMimi sidhani kama uwa kunaulazima wakutukanana nakukashfiana umu.Jaman situjadili mada vizuri tu taratibu mbona tutaelewana.
Mimi uwa sioni mantiki yamigongano umu ambapo watu hatujuani physically, uwezi jua MTU unaekorofishana nae umu anaweza akawa ni MTU muhimu sana kwako bila wewe kujuaMkuu hawa ni waathirika wa vyeti feki wametumbuliwa sasa wana stress ya maisha na bado
Kuna watu tuu wapo humu kwa makosa wao ni kukashifu tuu na kutukanaMimi uwa sioni mantiki yamigongano umu ambapo watu hatujuani physically, uwezi jua MTU unaekorofishana nae umu anaweza akawa ni MTU muhimu sana kwako bila wewe kujua
kiongozi wako ndo kakuita mbumbumbu mi nimenukuu tu,sihusiki.Wewe kima huna hadhi ya kuniita mbumbumbu wewe you are just a begotten guy idiot?!!
Jf ni ya kuhakiki pia kuna mashoga wengi sana wanatafuta wanaume kwa gia kama hizikiongozi wako ndo kakuita mbumbumbu mi nimenukuu tu,sihusiki.
mbumbumbu member.Jf ni ya kuhakiki pia kuna mashoga wengi sana wanatafuta wanaume kwa gia kama hizi
Hesabu asubuhi.
Hawa ni mashabiki wanaoendeshwa na mihemko ya vichwa vya habari vya magazeti ya sport ya tanzania, tutauona mwisho wake!Watu hupenda kusahau historia...wakati kama huu msimu uliopita Simba ilikuwa position gani na mwisho wa msimu Simba ilikuwa position ipi??? Fikiria sana...Mechi nane watu mnaanza kuzungumza???? Duh
Unatamani kweli Kichuya angekuwa anachezea Yanga.... Huyooooo..!!Kwa maana hiyo unataka kusema refa awe bize kukimbia na huyo chuya wenu ili wasimuumize sio!!
Siyo mavugo tena ni kichuya?Marefa wamlinde Kichuya bwana.Haiwezekani star kama Kichuya kila akishika mpira watu wanne wanamkaba na kumumiza.Tunatakiwa kulea vipaji vyetu.Mbona Ngoma analindwa sana.Tupende vyetu Bwana!
Mavugo mchoyo.Siyo mavugo tena ni kichuya?
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1130689/Watu hupenda kusahau historia...wakati kama huu msimu uliopita Simba ilikuwa position gani na mwisho wa msimu Simba ilikuwa position ipi??? Fikiria sana...Mechi nane watu mnaanza kuzungumza???? Duh