Rammyq
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 269
- 773
Nianze kwa salamu ndugu zangu wanajukwaa. Baada ya salamu, naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada.
Timu yangu ya Yanga inabidi tukubali kujifunza kwa Simba jinsi ya kujiandaa na kucheza mechi za kimataifa hasa za nyumbani. Haya tuliyoyaona leo ni matokeo ya maandalizi mabovu, mfano huwezi kucheza na Mbuni Fc eti kama kipimo cha kucheza na Al hilal.
Kitu kingine, huwezi kufunga goli nyumbani hata kama ni offside, eti unyimwe! Hatuonagi Simba anavyopewa hata penati za ajabu ajabu, kwa hili uongozi umefeli.
Nilishangaa sana Engineer kawapokea Al hilal kama ndugu zenu, hamuonagi Simba wanavyowapokea wageni? Naamini wangekuwa Simba, tena uwanja wa taifa, huu ushuzi usingetokea. Watu wangefungwa hata goli la mkono.
Tujifunze kwa Simba wananchi!