Kwa mechi za kimataifa, timu yangu Young Africans tukubali kujifunza kwa Mnyama

Kwa mechi za kimataifa, timu yangu Young Africans tukubali kujifunza kwa Mnyama

Rammyq

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2022
Posts
269
Reaction score
773
Nianze kwa salamu ndugu zangu wanajukwaa. Baada ya salamu, naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada.

Timu yangu ya Yanga inabidi tukubali kujifunza kwa Simba jinsi ya kujiandaa na kucheza mechi za kimataifa hasa za nyumbani. Haya tuliyoyaona leo ni matokeo ya maandalizi mabovu, mfano huwezi kucheza na Mbuni Fc eti kama kipimo cha kucheza na Al hilal.

Kitu kingine, huwezi kufunga goli nyumbani hata kama ni offside, eti unyimwe! Hatuonagi Simba anavyopewa hata penati za ajabu ajabu, kwa hili uongozi umefeli.

Nilishangaa sana Engineer kawapokea Al hilal kama ndugu zenu, hamuonagi Simba wanavyowapokea wageni? Naamini wangekuwa Simba, tena uwanja wa taifa, huu ushuzi usingetokea. Watu wangefungwa hata goli la mkono.

Tujifunze kwa Simba wananchi!
 
Hahaha mmeanza ukuda yaaan utopolo kweli akili hamna mnaona sisi tunashinda kwa magumashi ndo akili zenu zilipokwama ...haya kaeni na ujinga huo ...
 
Thread Nzuri Sana Yenye Madini Naamini Watauchukua Huu Ushauri Japo Wamechelewa Sana! Hawana Mbinu
 
[emoji4][emoji1] kujifunza lazimaa...Ila wasikate tamaa, wanaweza kufanya vizuri huko waendako.
 
Endeleeni tu kupokea wageni airport huku mkisahau na nyinyi mna kibarua chenu
 
Yanga labda waende makundi ya WhatsApp lakini sio ya CAF
 
Back
Top Bottom