Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Habarini za Muda huu Memberz woote wa JF.
Nikiwa kama Mmoja wa waratibu wa Party yetu ukiachilia mbali Mtambuzi, gfsonwin na mratibu mpya Vin Diesel, napenda niseme yafuatayo ambayo nahisi yatatusaidia sana.

1. Kwanza Napenda Nitangaze kuwa Mwisho wa kupokea mchango wako ni tarehe 24 siku ya Alhamisi saa Tisa Mchana
hii inatokana na baadhi ya Maandalizi ikiwamo Ratiba ambazo itabidi tuzikamilishe walau kwa siku hzo Mbili,yaani;Ijumaa na siku yenyewe Jumamosi.

2. Kuna hili suala ambalo lilipendekezwa na baadhi ya Memberz via Pm kuwa Kama kuna uwezekano wa Member kuja kulipia Mchango Mlangoni siku hyo,kwani kuna wengine hawatapenda ID zao ziwekwe jukwaani,
kwa kweli tumelifikiria suala hilo na tumeona kuwa wale ambao hawataki ID zao ziwe jukwaani tumewaandika pembeni. Na Siku hiyo HATUTAPOKEA MCHANGO WA MEMBER YEYOTE MLANGONI,

Kwanini?
A) Bajeti yetu itakuwa iko kamili kwenye idadi ya watu katika vyakula na vinywaji,sasa wewe unaelipa mlangoni utavuruga waandaaji wa vyakula na vinywaji.

B) Sioni sababu ya wewe kulipa Mlangoni ilhali wote twajuana Jamvini,au una skendo?

C) Utatusababishia usumbufu katika mpango mzima wa Ukaaji,Utambulisho na Viji-game vya Ukumbini....lol...!!!

3. Kumbukeni PARTY INAANZA SAA KUMI NA MOJA JIONI Hivyo Basi isiwe saa kumi na moja ya Mswazi (kuja saa 2usiku) Mtatuudhi. Inabidi Muwahi mapema.

4. Kuna wale Memberz ambao watapenda kuja ila watafika siku hiyo ya Party na Mchango Mkononi,P'se kama unajijua Wasiliana na Ndg Mtambuzi au mie Madame B ili tuwape Maelekezo.

5. Jamani Hii ni Party yetu sote,Tufurahi, Tu-enjoy na Tutakiane Happy New Year,kila siku jamvini tuuu,leo Face to face.

6. Kutakuwa na Wageni Rasmi ambao ni Wahusika Muhimu wa JF (supriseeee....!!!)

7. Tunapenda Tuwatakie Maandalizi Mema,Michaguo mema ya Nguo,viatu,Makoti,Suruali,Pedo,Magauni na hata Vitupio.

KARIBUNI SANA 'WHITE PARTY' MEMBERZ WOOTE WA JAMII FORUMS,ila Ulipe Mchango

Tutazidi kufahamishana kila leo....

UPDATES:

a) Mpaka sasa Memberz waliotoa Michango na kuthibitisha Kuhudhuria ni 35.
1. KakaKiiza
2. Mtambuzi
3. gfsonwin
4. Madame B
5. Paloma
6. cacico
7. MJeda
8. Asprin
9. Ruttashobolwa
10. amu
11. marejesho
12. Vin Diesel
13. figganigga
14. Jiwe Linaloishi
15. Amavubi
16. manoah
17. Jeska
18. Zion Daughter
19. Mulama
20. viviana
21. watu8
22. Tonykp
23. Remmy
24. Mamndenyi
25. kipaji halisi
26. Lusile
27. akenajo
28. Zinduna
29. Bujibuji
30-35 (hawakupenda majina yao yawe jamvini,ila wametoa michango na watakuwepo)

b) JAMANI MICHANGO MWISHO LEO SAA TISA MCHANA, BAADA YA HAPO HATUTAPOKEA MCHANGO WA MEMBER YEYOTE,
Ukiwa na tatizo toa taarifa via PM kabla ya saa 9.
Asante
 
Last edited by a moderator:
Hao wanaogopa nini kutajwa majina yao? Ndio yale yale sijui wana maskendo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…