Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madame B nimekosa nguo nyeupe, Mamndenyi hata hajaniletea manake mbahili huyoooo
je rangi mbadala ni ipi?
cc amu Zion Daughter
Ujue nini Mamdenyi ulizaliwa hujui kusoma wala kuandika lakini ukajifundisha hadi ukaweza. Sasa mie nakuomba ujifundishe kuanzia leo kunipenda kama unavyo jipenda wewe
Kweli majuto ni mjukuu! Umechezea bahati sasa unaadhirika! Ongea vizuri na mimi!!!
weweeee!!! si nimekutumia invoice mbona hujajibu! acha urongo wako kabisa! unajikosha huku ili ujulikane ni matawi! kumbe apeche alolo abechede!
weweeee!!! si nimekutumia invoice mbona hujajibu! acha urongo wako kabisa! unajikosha huku ili ujulikane ni matawi! kumbe apeche alolo abechede!
Kuna kijana hapa anamchezea simba sharubu.
Tutakutana siku ya tukio.