Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Asante my Madame B najua mipango ipo kamili!niliambiwa hata vyumba wametuwekea ila kwa wale watakaohitaji wani pm kuna discount kwa ajili yetu!!
 
Last edited by a moderator:
manoah tena hiyo ndiyo amri iliyo kuu "mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe" nami nasema siwezi kupingana na Amri iliyo kuu - more respect manoah.

Ujue nini Mamdenyi ulizaliwa hujui kusoma wala kuandika lakini ukajifundisha hadi ukaweza. Sasa mie nakuomba ujifundishe kuanzia leo kunipenda kama unavyo jipenda wewe
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nakupenda kama jinsi nilivyo amriwa na hisia zangu za dhati kutoka rohoni mwangu
manoah tena hiyo ndiyo amri iliyo kuu "mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe" nami nasema siwezi kupingana na Amri iliyo kuu - more respect manoah.
 
Last edited by a moderator:
Kweli majuto ni mjukuu! Umechezea bahati sasa unaadhirika! Ongea vizuri na mimi!!!

weweeee!!! si nimekutumia invoice mbona hujajibu! acha urongo wako kabisa! unajikosha huku ili ujulikane ni matawi! kumbe apeche alolo abechede!
 
Attachments

  • White party.jpg
    White party.jpg
    47.7 KB · Views: 17
Last edited by a moderator:
weweeee!!! si nimekutumia invoice mbona hujajibu! acha urongo wako kabisa! unajikosha huku ili ujulikane ni matawi! kumbe apeche alolo abechede!

Too late! Bahati uliyoipata hairudi kamwe! Tena hata wife aliridhia!!! Sasa mmasai hawezi kukusuka yeboyebo kwa siku moja! Pole sana. Siku nyingine uache mapozi!
 
Back
Top Bottom