Lilian Masilago
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 246
- 120
mi naenda kujimaliza....... nahisi ntaikosa
nimekumbukaaa mshahara utakua umeingia ,
Maneno huumba
Habari ya mujini ndio hiyo kwa sasa. Asiye na ulinzi shauri yake, atafute hata majeshi ya kukodi kwa siku hiyo...
poa mkuu, wewe imekuwaje tena huji wakati kila kitu tushaweke jina kunzia kinywaji, siti,msosi, nk
natamani sana niwepo siku hiyo, ila kufika ni 20% na kutokufika ni 80% chochote chaweza tokea, mke wangu anakaribia kujifungua sasa kumuacha jioni peke yake au kutoka nae usiku haipendezi
poa mkuu angalia usalama wa shemeji kwanza, hakiki kila kitu kiko sawa kusiwe na shaka yoyote ikishindikana basi mkuu next time tukipanga tena
hongera kwa kutarajia kuwa baba ajae kila la kheri mkuu (kwa sasa tunakuita baba dog mpaka mgeni aje tumpe jina)
hahahaha tata Mwita nyie ndio mnafaa kwa ulinzi na kwenye hii shughuli mko wachache... kwakuwa umekodiwa kwenye ulinzi mi ntabaki nawalinda mwaJ na Zion Daughter
Ah wapi hiyo ni sawa na kumkabidhi fisi bucha akulindie! Mimi nimejiandaa kwa ulinzi wa familia yangu pamoja na shemeji yangu marejesho.
Kama kuna wengine wanataka ulinzi waje tuongee biashara!
Ongeza juhudi my love cacico
mi naenda kujimaliza....... nahisi ntaikosa