Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

natamani sana niwepo siku hiyo, ila kufika ni 20% na kutokufika ni 80% chochote chaweza tokea, mke wangu anakaribia kujifungua sasa kumuacha jioni peke yake au kutoka nae usiku haipendezi

poa mkuu, wewe imekuwaje tena huji wakati kila kitu tushaweke jina kunzia kinywaji, siti,msosi, nk
 
natamani sana niwepo siku hiyo, ila kufika ni 20% na kutokufika ni 80% chochote chaweza tokea, mke wangu anakaribia kujifungua sasa kumuacha jioni peke yake au kutoka nae usiku haipendezi

poa mkuu angalia usalama wa shemeji kwanza, hakiki kila kitu kiko sawa kusiwe na shaka yoyote ikishindikana basi mkuu next time tukipanga tena

hongera kwa kutarajia kuwa baba ajae kila la kheri mkuu (kwa sasa tunakuita baba dog mpaka mgeni aje tumpe jina)
 
Baba dog yah I like that. Yani napenda sana mbwa aisee, na nina mbwa sita ivi wa hatari ukiwaona lazima ukimbie.
poa mkuu angalia usalama wa shemeji kwanza, hakiki kila kitu kiko sawa kusiwe na shaka yoyote ikishindikana basi mkuu next time tukipanga tena

hongera kwa kutarajia kuwa baba ajae kila la kheri mkuu (kwa sasa tunakuita baba dog mpaka mgeni aje tumpe jina)
 
hahahaha tata Mwita nyie ndio mnafaa kwa ulinzi na kwenye hii shughuli mko wachache... kwakuwa umekodiwa kwenye ulinzi mi ntabaki nawalinda mwaJ na Zion Daughter

Ah wapi hiyo ni sawa na kumkabidhi fisi bucha akulindie! Mimi nimejiandaa kwa ulinzi wa familia yangu pamoja na shemeji yangu marejesho.
Kama kuna wengine wanataka ulinzi waje tuongee biashara!
 
Haya haya. cacico naye anajiweka fit ili amlinde vyema mume wake Asprin

395529_10200307883518631_1453942526_a.jpg

Ongeza juhudi my love cacico
 
Last edited by a moderator:
Ah wapi hiyo ni sawa na kumkabidhi fisi bucha akulindie! Mimi nimejiandaa kwa ulinzi wa familia yangu pamoja na shemeji yangu marejesho.
Kama kuna wengine wanataka ulinzi waje tuongee biashara!

hapana mkuu siku hizi hata paka analinda samaki huwezi amini na anatembea na tasbihi iliyotengenezwa kwa dagaa wa kigoma

huo ulinzi wako wenyewe wa mashaka pesa utafikisha lakini wadada watafikia wamevimbiwa... ngoja tusubiri jmosi
 
JAMANI MUDA UNAZIDI KWENDA.
Mwisho Saa 9 Alasiri.
Toa mchango wako
 
Madame B ,wakati nyie mkiwa kwenye white party,ambayo nilikuwa nimebakisha kiatu cheupe tu, nimalize mlipuko wangu, mi ntakuwa naripoti na wana Tanga..
"Much Love...."
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom