manoah Mungu akipenda tutakuwa wote
duu was a little busy......hebu nipeni contact person......ya wahusika ili nijue zaidi.
manoah kweli pengine unaweza hata kunivusha pale kwenye mataa ya ubungo.
Madame B tena kwenye white party mie sitoki na mtu, ruksa chukua tu wewe Kabakabana nao wote nimekususia.
Madame B nimekosa nguo nyeupe, Mamndenyi hata hajaniletea manake mbahili huyoooo
je rangi mbadala ni ipi?
cc amu Zion Daughter