Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Too late! Bahati uliyoipata hairudi kamwe! Tena hata wife aliridhia!!! Sasa mmasai hawezi kukusuka yeboyebo kwa siku moja! Pole sana. Siku nyingine uache mapozi!

nenda zako na mkeo! hamna lolote! siwataki wala nini! apeche alolo weweee!!!! sasa najigandisha kwa Bishanga yeye huwa hahesabu anatoa tuuu....
 
Last edited by a moderator:
nenda zako na mkeo! hamna lolote! siwataki wala nini! apeche alolo weweee!!!! sasa najigandisha kwa Bishanga yeye huwa hahesabu anatoa tuuu....

Jitulize bibie! Ona unavyoumbuka? Hili liwe funzo kwa wengine!
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye RED pananihusu sana..... Haya kila la Heri!!!!!!!!!!
 
huyo mbwa wa dad tutampa nyama manake usiku silali nakwazawaza wewe tu. mia
Teh teh.. Paloma njoo unisaidie hii kesi maana unamuelewa vizuri dady yangu mzee fita ni fita Mwita Maranya marwa chacha .Halafu mie kwanza bado nasoma ila figganigga mzee wa mia anasema halali kwaajili yangu..
 
Last edited by a moderator:
waaaooo CL hujambo? nimekumiss!!!

Sijambo Paloma.... Ila nasikitika kutokuja WHITE PARTY thou ntakuwa Dar that day. Waratibu wamegoma kupokea mchango mlangoni. . . Haya nawatakienu kila lililo jema ntatafuta member ambaye hatakuwa kwenye party tupeane kampani!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…