Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Inakuaje tena arifu...???
Labda ndo yuko kwenye Inglish kozi ya kutongoza sample kibeberu beberu kuchukulia uzoefu kwa mama zake
Umeamka salama? ?I may attend, GOD please allow me to.
Dah! Full kutingwa na majukumu arifu.
E bana pole sana arifu, kiroho tutakuwa sote.
Nasktika kuwa sitakuwepo. Ila mchango wangu nitautuma
Uhuuuuuu........ Ngoja nipumue pumzi kubwaaaa.. Make nilikuwa nshakata tamaa. Hebu utume upesi na nitaingia kwa niaba yako na kwa kutumia ID yako namna hii...
charminglady C/O Nicas Mtei
Copy kwa Madame B.. Hebu fatilia huu mchango ili uniweke kwenye orodha AS SOON AS POSSIBLE!!!!!!
sijakuelewa! wala naomba isiniulize why sijakuelewa! khaaaaaaa makubwa hayaa
tell daddy you kidding....
hahahaha. Kwan wewe hujatoa? nldhan jna lako lipo kati ya 26- 35. utaniwakilisha.
Afu my brother,mbona kimya ile ishu?
Daddy am serious, Make waratibu wamekuwa wakali kweli et " Hawapokei mchango mlangoni"
hahahaha. Kwan wewe hujatoa? nldhan jna lako lipo kati ya 26- 35. utaniwakilisha.
una akili wewe........