Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Nasktika kuwa sitakuwepo. Ila mchango wangu nitautuma

Uhuuuuuu........ Ngoja nipumue pumzi kubwaaaa.. Make nilikuwa nshakata tamaa. Hebu utume upesi na nitaingia kwa niaba yako na kwa kutumia ID yako namna hii...

charminglady C/O Nicas Mtei

Copy kwa Madame B.. Hebu fatilia huu mchango ili uniweke kwenye orodha AS SOON AS POSSIBLE!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

hahahaha. Kwan wewe hujatoa? nldhan jna lako lipo kati ya 26- 35. utaniwakilisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom