Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Copy to Filipo
kaka mkubwa kulikoni tena???...duh
Emergency tu. Kuna jambo lmeibuka kati. Inanibd nilimalze kwanza.
hahaha kaka inabidi kuanzia sasa niwe natoa on-site support...maana kwenye shughuli kama hizi unapokosekana mpwa wako nanyong'onyea sana....
hahahahaaaa Nicas Mtei kwani BAGAH ni msukuma? maana ndio watani zangu haoooo..............
Naruhusiwa kuja na mbeb?
huyo sio msukuma ndio maana nashangaa unavyomtania.