Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

hivi BAGAH ndio sandwich??!

hapana...
Hii ni sandWICH
Sandwich.png


Hii ni BAGAH
burger.jpg
 
Last edited by a moderator:
hahaha kaka inabidi kuanzia sasa niwe natoa on-site support...maana kwenye shughuli kama hizi unapokosekana mpwa wako nanyong'onyea sana....

Changamoto za maisha ndio zinafanya hata tusipate fursa za kujumuika na kufurahi pamoja kama ndugu.. Ila kaka usijali. Ipo siku tutapata wasaa wa kujumuika
 
Back
Top Bottom