Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Wiki kadhaa nilisoma historia za Marais kadhaa wa Afrika baada ya kujiuliza maswali mengi kwanini Baadhi ya Marais waliopata Nafasi baada ya kupigania haki, uhuru na maendeleo kwa muda mrefu hadi leo wengi wao hawajatoka madarakani.
Nikakumbuka nchi za magharibi mwa Afrika na hata afrika ya kati hadi leo wako madarakani tena wanaongoza kwa mkono wa chuma kweli kweli.
Hata afrika mashariki wapo, wapo ambao enzi zao walipigana wakitokea msituni walionekana wanapigana sababu ua Uhuru wa Watu wao. Lakini inaonekana kumbe haikuwa hivyo bali madaraka tu.
Na ktk hao marais woote waliongoza/ wàmeongoza kwa mkono wa Chuma kweli kweli.
Baada ya kusoma historia hiyo nikakumbuka Masimulizi niliyowahi kusimuliwa na mmoja wa Marais wastafu wa Hapa kwetu.
Aliwahi kusimulia kisa kimoja akisema enzi za Starlin Rais wa United Soviety of Rusia alikuwa na roho ya kisasi. Alikuwa anaweza kuwafata baadhi ya maafisa wa zamani hata kama wamekimbilia Kujificha South Amerika atahakikisha anawakuta huko huko.
Bahati nzuri tawala kama hizo za Kidikiteta Alhamdullilah zimepotea lakini ni muhimu sana tukawaza kuhusu baadae.
Je akitokea rais ambaye sio mwanaccm wala mwanachadema akaamua kufatilia yaliyopita je tutapona?
Ni vema tukawaza pamoja na kujirekebisha pale panapolalamikiwa.