Kwa Mfano hawa ni DP World ndo wawe wanalipa mishahara ya Watumishi. Nani awapinge?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Labda ndo iwe hivyo.

Enhee!? Mtafanyaje?

Ok.. labda tuseme hawa DP World ndo wamewezesha madaraja kupandishwa.. au hata ajira mpya.. mtafanyaje!?

Na wale wabunge mnafikiri wako kapa?

Kwani Watanzania hatuwezi kuwaza kwa Sauti?
 
DPWORLD ndio wanaofadhili Vita ya SUDAN
Ok.
Kuna ndoto nliota juzi.. kwamba come 2025 tutakua na militants.. extremists ambazo zitawapa wajinga hofu,..

Hofu hiyo itawafanya wajinga hawa waendelee kukubali ujinga.
 
hawa Kwa sasa wamejipenyeza nchi nyingi za Africa baada ya kuona wakitoa rushwa tu watawala wanauza nchi zao ,inamaana wapo tayari kuwapa CCM fedha yoyote ili watoke rushwa wakati wa chaguzi zote ni hatari sana
 
Come 2025
 
I see militants ahead..

Tena mapema sana.
 
Ndiyo maana tumewapa nafasi wachumi na wanasheria waongee tuelewe.

Sasa kama tunaanza kuangalia madaraja , ajira na mishahara huenda ni faida mojawapo za Dp World🤣🤣 ni kichekesho.
 
DP World ni wafadhili wa uchaguzi ujao, utafanyaje?
 
hawa Kwa sasa wamejipenyeza nchi nyingi za Africa baada ya kuona wakitoa rushwa tu watawala wanauza nchi zao ,inamaana wapo tayari kuwapa CCM fedha yoyote ili watoke rushwa wakati wa chaguzi zote ni hatari sana
Ccm hata wasingekuja waalabu mzee Baba hawang'oki
 
Ndiyo maana tumewapa nafasi wachumi na wanasheria waongee tuelewe.

Sasa kama tunaanza kuangalia madaraja , ajira na mishahara huenda ni faida mojawapo za Dp World🤣🤣 ni kichekesho.
Waongee nini washalipwa!?
 
Hakuna wa kuwapangia walipeje mishahara ya wafanyakazi wao. Watakuja na scale zao za mishahara ya ajabu. Ukute DG mtanzania wa kitengo fulani analipwa mshahara kima cha mkia wa mbuzi. Kwanza hawa wawekezaji wataleta wataalamu wao watakaoshika post za juu kwa mishahara ya scale za kwao. Hawa wazawa wengine wataishia kulipwa posho kama vibarua tu, mwekezaji atataka apate faida nono ili akajenge maendeleo ya nchi yao.
 
umeongea ukweli
 
Wanalipa vizuri sana
 
Back
Top Bottom