Kwa mfano Jf kungekuwa na sehemu ya "kublock user" ni nani asingegusa uzi wako?

Ahahaaaaa labda wale wote wanaonichukia ndo wangeni block[emoji23] [emoji23]
 
Aisee mimi ningeanza kuwapa block watu hawa

JAMBAZI

LIZABONI

RUTASHOBOLWA

Huwa wanapost na kutoa comment za utumbo tu

Mbona ipo na tumawablock wanaojitoa ufahamu?
 
Wa-add kwenye ignore list kama wanakudhi.

Mimi ningeanza na wewe kwa kuandika mada za Kipumbavu tu.
 
unamweka tu kwa ignore list...........hakuoni wala haumuoni.....umemaliza kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…