Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini.

Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo?

How fast is our rapid response teams for any aspect of emergency?
 
Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini...
Tume ya maafa iko chini ya PM au wenyewe kazi yao ni kwenda kwenye misiba tu kutoa pole?
 
Hapa hatuna askari wa kumzuia adui wala kufanya uokoaji.

Uthibitisho wa kauli hii ni tukio la mzalendo Hamza, peke yake tu aliweza kuwapora askari bunduki na kuwapeleka peponi askari 9 na kuwajeruhi 6. Kisha akaamua tu kuacha.

Na kuhusu uokoaji ni hayo madudu ya leo
 
Bado labda tuweke siasa, wanajeshi viapo vyao ni kulinda mipaka yetu, Leo kuna human trafficking syndicates nyingi zinazo operate hapa nchini, illegals wanaingia nchini kupitia mpaka na kenya, wanasafiri hadi kasumulu border bila ya kuonekana na kupotolea kule, sidhani hadi kikosi chetu cha anga pale mwanza kilipata taarifa kuanguka kwa ndege hii!
 
Tujaribu kuwaza. Kosa sio kosa bali pale linapojirudia rudia

Hiyo habari ya hamza kuua watu 9 we umeipata wapi?
 
Hapa hatuna askari wa kumzuia adui wala kufanya uokoaji.

Uthibitisho wa kauli hii ni tukio la mzalendo Hamza, peke yake tu aliweza kuwapora askari bunduki na kuwapeleka peponi askari 9 na kuwajeruhi 6. Kisha akaamua tu kuacha.

Na kuhusu uokoaji ni hayo madudu ya leo
Acha pumba basi jombaa au una tatzo la afya ya akili.
 
Back
Top Bottom